@_tanzaniahistory: Dr Ulimboka, 2012 Aliongoza mgomo wa Madaktari nchi nzima waongezwe mshahara kutoka 950k hadi 3.5m. Aliitwa chemba apozwe asitishe mgomo, akagoma. June 27, 2012 akiwa Leaders Club akatekwa, June 28 akaokotwa msitu wa Mabwepande akiwa hana baadhi ya meno na kucha. #tanzaniahistory #kumbukizi
Mtu yupo mahututi lkn kingereza hakiachi wasomi bhn😂😂😂
2025-10-08 18:51:50
2
Kodiboy Tz :
uyo mpumbavu angekufa kabisa wagonjwa wamekufa sana sababu yake
2025-10-04 17:21:51
10
Husy collection :
kheeee watu wanapiga jamn kheeee 🙌
2025-10-07 20:15:06
3
naima seif :
kikwete ndio kazi yake kubwa, tekaji la taifa. Pablo Escobar
2025-10-04 09:34:47
243
@lovenes Ivan🇹🇿 :
Kwan Tz akunaga sniper eeh
2025-10-05 20:22:20
8
karistoretz :
Namuaza polepole 🥺
2025-10-06 11:41:42
19
Majid Jr :
sasa jikute mwanba tarehe 29 ujifanye unajua😂😂😂, yatakukuta haya haya
2025-10-08 08:07:24
2
smart boy 🤪🚘 :
kwa hichi kipigo sijui km tareh 29 au basi
2025-10-07 05:07:08
3
Official_Mediator :
mama samia mi5 tena, oktoba tunatiki mama samia oyeee.........
2025-10-04 11:23:09
4
finegirl :
Alitolewa meno bila ganzi na koreo hee kikwete uyo 😌
2025-10-07 11:01:31
1
nyanjo :
pole sana mungu akuponye halaka ili uendelee majukumu ya kifamilia
2025-10-06 12:00:57
4
CONQUISTADOR :
Dah..inasikitisha sana..mtu unamfanya mwenzio hivi kweli..kisa nin
2025-10-03 22:52:26
35
Petro Godrey :
Kikwete mhuni tu kama wahuni wengine
2025-10-03 21:10:42
102
CAMANDA :
mwanaume kapitia magumu huyu alipoachiwa kahamia South Afrika hadi sasa
2025-10-04 13:08:24
73
Smile_yclothing🌻 :
ndo daktari alipwe 950k😂😂
2025-10-04 09:24:49
8
Husseinbakar891 :
29/10/2025 tukaondoe haya
2025-10-04 09:24:11
11
Abdallah Mtawa :
licha ya kipigo lakin aachi kuongea kingereza
2025-10-08 21:19:37
0
Awenah Mmbaga :
yan tukio hili lilitikisa sana kipindi hicho ila alipata maumivu meno yanauma jamaniii
2025-10-08 21:27:10
0
mserekali m1 🥇🇹🇿 :
kwan mpaka leo mzma?
2025-10-04 05:22:05
4
Wambura 77777TZ£%_## :
Dah😳.. siku ya birthday msisahau kupaka Amira kwenye marungu
2025-10-07 10:23:44
2
Cutelizy45❤️ :
Una moyo Bado unaongea😅 Ila aisee🥺
2025-10-08 12:16:54
2
user1081930308398 :
kwn meno wameyatoa auu
2025-10-08 23:19:52
0
bedui :
Wagonjwa wengi walifariki sabab ya mgomo wa madaktar
2025-10-06 09:10:08
3
Queen Sheba Abesh :
kihelehele kinawaponza wataka vyote siasa doctor uroho wa madalaka sio mzuri tulieni poo alikuwa nakazi nzuri balozi wa quba ajalizika sasa kimemlamba lizika na ulichonacho na mshukulu mungu wengine atuna ata kitu tumejikalia tu mnaacha familia zenu kwa uroho wa madalaka tulieni
2025-10-08 00:21:27
0
PEARL 🎀 :
Hivi alipona?
2025-10-04 10:32:51
8
To see more videos from user @_tanzaniahistory, please go to the Tikwm
homepage.