@jamvi255: Msikilize huyu Captain Tesha, Kapteni wa JWTZ #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokkenya #tanzaniantiktok🇹🇿 #TrendingTanzania #gwajimanization #gwajimanization🇹🇿🇹🇿✊✊✊ #Gwajima2025 #trendingvideo #tiktokindia #Uchaguzi2025 #Chadema #Polepole #Gwajima #uchaguzimkuu2025 #Jamvi255 #Oktoba29 #tiktoktanzania🇹🇿 #PolepoleLiveLeo #haki #Nepal
Jamvi255
Region: ZA
Saturday 04 October 2025 10:52:37 GMT
2143326
125582
10767
17231
Music
Download
Comments
hj :
huwezi kujitoa muhanga ivi halafu nikunyime like captain Tesha
2025-10-04 11:25:06
15514
Putin :
Dah mbona nikitaka kulike mara kumi inakataa!??🥺🥺
2025-10-04 11:27:17
6860
christinalasimon :
mungu tushushie malaika walinzi kwenye nchi yetu ya Tz
2025-10-05 12:39:30
1
Giant Africa Fact(GAF) :
mpka huyu Anaongea ujuee wengi wako nyumaaa
2025-10-04 11:23:33
3853
🍒CrushH🫶✨🫧 :
Nimelia jmn nimelia kwa furaha na rahaa kama umefurahii kama mm gonga like yako hata moja hapaaa😭😭😭😂
2025-10-04 12:54:51
402
XUZZY TESHA♥️ :
Mungu muongezee malaika wa ulinzi 🥰
2025-10-04 11:01:21
5204
lisher :
Mungu mlinde Capten Tesha jamani gongeni like apa kwa Capteni Tesha
2025-10-04 15:51:31
671
someone gerlo🫧 :
huyu ni mume wangu nimewahi😂😂😂
2025-10-04 17:08:30
435
Drizbeatz 🥁 :
namuona TRAORE wa TZ kwa mbaaaaaaali
2025-10-04 11:15:23
1613
Majiakunde :
mwanajeshi kiazi wa kwanza huyu hapa
2025-10-04 11:18:33
242
Maulidi Ally :
kama unasapoti anachosema captain gonga like apa
2025-10-05 09:14:25
62
Ukombozi :
WE TESHA COMBAT UMEIBA WAPI,
2025-10-04 11:48:49
213
Mgisha Mboyelwa :
mpumbavu ww Nchi hii imekombolewa toka tarehe 9.12.1961 tulimuondoa mwingereza bila kumwaga damu ww unataka ukomboe nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-04 11:19:22
130
Caty Tz :
jaman captain tesha mungu amuongezee malaikaa wa ulinzi
2025-10-04 15:10:20
266
jeff6 yanga :
Bado sijaelewa kwani Kuna shida gani mpaka nchi muishikilie jeshi
2025-10-04 15:22:55
109
Erick :
Tusiache kuandamana jeshi lipo upande wetu wananchi. wanatutegemea tulianzishe alf wao wamalizie
2025-10-04 14:22:29
179
aser mamens gastor :
uyu jamaa ni Ibrahim Traore kama una kubali gonga like hapa😎😎
2025-10-04 12:48:50
136
H_sasy_14 :
mna uhakk huyu ni jeshi au Al 😂
2025-10-04 11:23:02
28
H.SAM BOY💪✅🌻🌻 :
MBNA NDOTO INAJIRUDIA MAMA SAMIA ATAPIGWA LISASI SO MUDA KILA NIKIFUMBA MACHO😄😄👊🙌🇹🇿🔰
2025-10-04 14:46:35
103
Johnson staling :
kapten nakuukubali kama uvyojua
2025-10-05 12:45:30
0
joshuanjenda :
Mungu akubariki kwa uzalendo wako🙏🙏
2025-10-04 11:04:12
573
@Lizybon🥰🥰❤ :
kumbe tz tuna jwt bola kama tunao maana nilidhan jwt hatuna maana imani yetu ilikua imebakia kwenu lkn mlikaa kimya mpaka tunaskia harufu ya damu
2025-10-04 11:19:48
25
Shez_Jane :
huyu ni mwanajeshi kwelii????
2025-10-04 11:17:41
50
Ediee :
Upo seriously au unataka tujichanganye😂
2025-10-04 12:39:29
268
To see more videos from user @jamvi255, please go to the Tikwm
homepage.