@tistarbilly: MWANAUME utaendelea kuteswa. a mahusiano adi pale utakapo gundua kwamba ww ni muhimu sana kwa mwanamke kuliko umuhimu wake kwako!

tistarbilly
tistarbilly
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 October 2025 13:50:44 GMT
21715
1983
163
65

Music

Download

Comments

jei_vanny07
jei_vanny :
kaka umefanana na chief godlovee
2025-10-04 20:07:59
86
emanueljackson82
prince ❤️♥️♥️ :
haha kumbe 2natakiwa 2sioe et
2025-10-06 06:01:37
2
user6236076808185
hamady bady :
Kam umemuelew Kam Mimi gong hap 💥💪💯
2025-10-05 08:08:43
25
willyjambo75
willyjambo75 :
we acha kutufokea, kuna pc kuzipata ni bahati bana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-05 10:20:52
2
geofmanento
Goefrey Manento :
mdogo wake chief
2025-10-05 12:04:35
11
goodluck.siogopi
Goodluck Siogopi :
hatimae nimekutana na mtu mwenye hekima
2025-10-05 14:30:55
2
scenariomenza
scenario menza boy :
ukweli kabisa na mbona sioni wanawake kwenye comment section
2025-10-06 05:29:05
0
renatalucas40
renata lucas :
jindanyanyeni mnapata haohao walala hoi sio sisi wapambanaji bro
2025-10-04 17:02:19
9
don_shuku
Don_shuku :
bro uko mbali sana kifikra asa we tutaweza ishi camp Moja👊
2025-10-04 16:14:50
28
user5328410569258
abdul :
mbn wanawake siwaoni hum?? au yaliyo semwa ni kweli 😌😁
2025-10-05 13:24:56
9
user5300876137466
jod official :
daaa brooo umenifunza KITU shukurani sana kaka
2025-10-04 21:15:17
13
beeyyothuman
beeyyothumanmagan :
bado mda ujafika koo waache ukifika wataelewa
2025-10-05 12:47:01
3
mlc0m18
"M@LC0M"🇹🇿+🇿🇦🌍 :
elewa code........
2025-10-05 16:01:18
2
emajohn62
amos amos :
broo kasema kweli
2025-10-05 11:31:23
3
francemichael657
frans :
kupata wanawake sio baht ni uchum wko ndio una amua wkat mwngne hata sio uchum maana mm nnao weng na wengne hata cm zako sishk sababu nnae wifi matrl
2025-10-04 21:51:03
2
mussamatelephone0
mussaamisse405 :
kwanza wake sio ishu ishuni pesa pekee
2025-10-05 17:51:25
1
mad.dog7068
Mad Dog :
kwani kaka unaunduguu na chef godlovee😳
2025-10-05 11:06:53
2
mr.rabbit_07
mr Rabbit :
sad trust🫂
2025-10-05 05:50:33
2
manzabay1985
Suleiman Mdachi :
Noma
2025-10-05 13:33:27
1
deogratius1201
dee💪🤝 :
True 💪💪
2025-10-05 07:05:12
2
57mnazi
57 mnazi :
Asa mim Ni mzazi mpaka nimpe kila ki2
2025-10-04 22:13:06
3
calax_iz
Calax_iz :
Kabisa chief godlove😁
2025-10-05 09:40:00
2
pengo.tz6
pengo Tz :
ujengewe sanam bwana
2025-10-05 05:57:28
4
stevewalker.1
💲💎$TËV£💎💲 :
tukiikomboa nchi tar 29 tutakupa nafasi ya ushauri wa jamii🔥😂😂
2025-10-05 11:15:42
2
stewart.shayo
Stewart Shayo :
:hiv kwanin usiwee rais tu tupe jin lako na chama Chako kura umeshazipata kak🫡🫡🫡
2025-10-04 20:15:30
3
To see more videos from user @tistarbilly, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About