@yohanawillison: #tukutana kiambakari musoma bunda wewe chezea nyamama wewe.

@Yo⅖so⅘n⅞
@Yo⅖so⅘n⅞
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 October 2025 10:41:27 GMT
136477
4544
437
493

Music

Download

Comments

user5986945116981
86867272 :
tunao kubali mara kwetu ❤
2025-10-07 19:00:20
139
daniel.chambili
Daniel chambili :
Wakurya kidogo tuwe wahadzabe
2025-10-08 07:28:12
9
babygee451
babygee@451 :
hapo uwe na ule ugali mixer wa kanda etuu wanaelew ni ugali upi
2025-10-09 14:19:53
1
sultanseyyid69
officially said kigera 🇹🇿 :
daaaah mara ni yetuuuuu
2025-10-10 10:50:03
1
joycemwita41
joycemwita41 :
dah nimekumbuka zile nyama za mugumu mnadan
2025-10-07 17:51:32
29
shittaplant
Shitta Plant :
had uwe mtu wa mara nd utaelew
2025-10-07 20:10:11
11
lazaro.john.tz
Lazaro John Tz :
@hapo kyabakari
2025-10-07 16:25:27
1
majingeii0
veracity :
Hii ndiyo mambo nzuri😁😁😁👍
2025-10-09 08:27:57
1
flowezmxyc5
flower :
Jamn wale wa kichuri tujuane
2025-10-08 06:13:16
6
linhkidoti1
kidoti :
daah nimemis hizi nyama za mnadan tena uweke na kichuri😋😋😋
2025-10-08 11:52:10
29
francikero
Franci :
hizo sufuria nyuma Huwa zimepigwa nyundo
2025-10-25 10:44:24
0
chachatungai3
chachatungai :
hadi nimekumbuka kipindi cha jando😏😏😏😏
2025-10-08 03:55:34
1
suzzymassaga
suzie :
Home sweetie naja soon jaman 😋👌
2025-10-07 15:39:48
1
tonymlatino
Tony Mlatino 🇹🇿🇹🇿 :
kiagata nini
2025-11-09 15:36:46
0
wangwe122
wangwe son :
jaman bitalaguru, isenye na kyabakari aisee hiyo sehemu wanachoma nyama nimemiss sana aise home
2025-10-09 09:55:03
4
lucypeter70
lucypeter :
mkuria wa kenya🥰🥰🥰
2025-10-08 05:49:02
1
neemamakogoto509
Mamy mo :
Nimemiss hizi nyama jaman na kichuri😋
2025-10-08 06:02:28
5
kaefjohnes
kaefa johnes :
i am a proud kuria siku zote.... hii nyimbo naipata aje
2025-10-08 07:21:58
1
fettymzinga6
Fetty Mzinga :
wapiii kiabakari duh atali mnada wa trh 23
2025-10-08 19:36:24
3
chngmk
lion of judah :
nikikumbuka hz nyama zimeniretea ugonjwa homa ya nyama sahiv nakura sindano kila siku sizitaman tena
2025-10-07 05:14:58
0
beataalexander7
Beata👌♥️ :
mnada wa kiabakari nyama za mbuzi mix kondoo
2025-10-09 07:45:09
5
user48485192214688
anita :
daaaaa nyumban ni nyumban
2025-10-06 11:55:42
12
user4408605572210
user4408605572210 :
mara kwetu kumenoga sana😄😄😄😄
2025-10-08 06:49:21
3
weremajr5
WEREMA JR :
home napenda kupaita sweet home kbr moja
2025-10-07 08:18:56
10
gracechacha995
Grace Chacha995 :
Na mugumu bado wapo kweli nimezikumbk
2025-11-11 10:14:51
0
To see more videos from user @yohanawillison, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About