@esternaturalhai: #tiktokfypシ #tiktokviral #tiktoktrending #tiktokofficial #tiktoknews

EsterMakeup NaturalHair
EsterMakeup NaturalHair
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 October 2025 11:16:49 GMT
152606
4887
166
957

Music

Download

Comments

fadhla__fadhlas
Faa❤️ :
Wekeni kachumbari bhana mtaniudhi😂
2025-10-06 17:26:08
132
joseph_rosse
Josephrosse :
kwahiyo kachumbari mtakula kama kishushio?
2025-10-07 09:59:11
46
didakwangs
Didakwangs 🤍✌️ :
Ambaye yupo kigamboni aje tupike hv leo 🤭
2025-10-07 07:42:00
25
purplebee377
Purplebee :
haya niwe serious sasa unapka kwa oda means mtu atake ata kuanzia sahan ngap? au ata kam n moja kikubwa tuwe wengi ? em nieleweshe
2025-10-07 18:05:12
0
miry_miry
miry ❤️ :
Watu mnapika 🔥🔥🔥
2025-10-06 16:28:11
16
suhaylah334
suhaylah ❤️ :
hili ndio pilau sasa
2025-10-07 11:17:08
2
cattie9246
🥀🌸 :
Mbona hamli au sio vyenu😂
2025-10-07 07:29:32
1
tausi_musa255
Chimamy🦚 :
jaman nini lakin roho yangu
2025-10-06 15:07:06
0
princes_thomas01
Princes Thomas :
sijapenda 😋
2025-10-09 10:08:00
0
esternaturalhai
EsterMakeup NaturalHair :
NIPENI ODA NIWAPIKIE IJUMAA SASA😂😂😂
2025-10-07 11:14:36
0
go_dancer69
go_dancer69 :
hamja kabwa ila zurii✨
2025-10-07 11:02:06
1
smileangel288
smileangel288 :
Jamani nipo kigamboni darajani natafuta saloon iliyo karibu nisuke stitch
2025-10-06 21:23:29
4
mamu39360
mamu :
mm mchango wangu ni chumvi
2025-10-07 09:09:21
0
user6181780194178
user6181780194178 :
😂😂😂😂😂😂 kitunguu swaumu
2025-10-11 14:21:54
0
shammy.shammy775
ShammyD❤️🔐🥀 :
Nimepata njaa
2025-10-13 07:51:40
0
neemashango1988
user5927220385234 :
mm ntatoa vitunguu maji
2025-10-06 09:35:05
7
familylove263
Family love :
kachumbali mtanywea chai😂😂😂😂
2025-10-13 11:14:26
0
hawanofu
Hawa Nofu :
Mko wapi nije 🥺
2025-10-07 11:08:09
0
flavian663
🌟F♥️ian😍 :
kachumbari mtakula saa ngapi🤣🤣
2025-10-08 16:20:53
0
tanzniayetu
Tanzaniayetu :
hapo lazma kunamnyakyusa utamaduni haujaachwa hapo
2025-10-08 07:19:00
0
denilson_dm12
Iam Denizo :
me nitachangia maji ya kunawa😂
2025-10-07 15:36:36
0
quitemagger2
quitemagger :
mbn aliyepaka rangi anaonekana mcheshi ivo😅😅
2025-10-06 17:39:42
0
user72579203402235
user72579203402235 :
Hee dada
2025-10-05 15:20:58
1
nahya951
Nahya🤍 :
kwahiyo kachumbari mtakunywa kama kisusio
2025-10-08 07:37:56
0
maokoto58
Tajir makruh :
Sikwamakucha hayo😂😂
2025-10-10 07:17:13
1
To see more videos from user @esternaturalhai, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About