@islamicqoutes497: mzee bado tunae na tunatamba nae#fyp #fyppppppppppppppppppppppp #tiktok #CapCut #fyp

mufti zubeir
mufti zubeir
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 October 2025 20:28:31 GMT
85981
1740
93
81

Music

Download

Comments

mzee.wa.makavu
MZEE WA MAKAVU :
akuna lie umia labda ww mwenye masilai nae
2025-10-06 05:34:43
6
user6503174521311
Mr decoration :
wew ndio unamuhitaji sawaaa usiunganishe na wengine mjinga wew
2025-10-06 07:33:11
6
user9033216294227
user9033216294227 :
unamtaka wewe tu
2025-10-06 11:50:35
1
sundymesso0
sundymessotiktok.com/@danielg :
labda kweli kafa tusubili mbona hasikiki leo nimeota Taifa linazika mtu mkubwa
2025-10-06 08:29:59
0
user1624736076278
user1624736076278 :
JK yuu hai Allah akulinde former wetu
2025-10-06 03:51:07
3
innocentsimpasa47
innocentsimpasa47 :
afe tu kwenini amefufuka🤣🤣
2025-10-06 08:05:48
0
user10704423487
ajiliwa kamimii :
wewe wamehuzunika akina Nani huo uwingi unautoa wapi kwann usijisemee pekeako 🤣🤣🤣
2025-10-05 23:47:16
3
user70388417869882
Nyisalya :
anaitajika kwenu sio kwa watanzania
2025-10-06 07:17:11
1
user3905081147971
Sun,Broo :
Kwanini hawa watu wanao fanya hivi hawashuhulikiwi
2025-10-06 05:04:34
0
user27981525494557
user27981525494557 :
tunae na tunadundanae miaka2000 mtakufa nyieee
2025-10-06 12:18:00
0
loi7304
loi :
amna alie umia
2025-10-06 04:01:06
3
user9021946682758
haruna mabita nyijundu :
nani ameumia umeingia kwenye mioyo ya watu
2025-10-06 09:38:09
2
mariammnyangara1
miss marry :
labuda ulishutuka wee niache kushutuka napesa nikashutuke hiyo kwalip labda
2025-10-06 09:25:18
2
kembikwetu
❤️ Mama wa3@#💫 :
Mnatamba nae mkiwa wapi tuje tuwapige mawe
2025-10-06 09:01:51
1
ww.tiktok.tiger
Black Tiger 🐅 :
hayupo hata mmoja aliyesema pole wote tulisema waooooooo kumbe ujinga tu jamaa linaishi ila litakufa tu
2025-10-06 10:34:08
0
zainabusamwel
Zainabu Samwel :
kikwete angekufa tu hana kazi mjinga huyo
2025-10-06 10:33:07
0
josephat.josephat7
Josephat Josephat :
usimukumu mtu wewe sio mungu acha chuki
2025-10-06 06:22:49
2
user5911697543624
valentine Bwana joseph :
asante Mungu
2025-10-06 05:51:45
1
user75114550075306
dotto yusuph masanja :
Acheni utani bhana inamaana kashafika Kwa mzee Magu Tayar.
2025-10-06 10:37:32
0
user5009305903545
mussa mahenge :
hawa wazushi lengo lao kututoa kwenye hatenshen...
2025-10-06 08:54:03
0
faidha.alnassri
Faidha Alnassri :
Allah atazidi kumlinda inshaallah, tunae na bado tunatamba naee
2025-10-06 03:28:40
0
rich.gwagi
rich gwagi :
wengine mbona bado amebaki mwingine
2025-10-06 08:14:48
0
ivani0627225232
ivani0627225232 :
wewe ndo unae mtaji yani wewe una poteza mda kumwaza shetani
2025-10-06 08:29:11
0
auntie.nuru
norine :
hakuna alie huzunika kwa huyo
2025-10-06 04:05:58
2
ibrahimarsenal318
mom_jojo :
umeshtuka wewe nani aumie mikwangu shangwetuuuuu🤣🤣🤣🤣
2025-10-06 10:13:44
0
To see more videos from user @islamicqoutes497, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About