sheikh mm siumwi lakini nawaona majini tangu mdogo mpaka leo je nifanyeje
2025-10-06 16:02:11
1
Mia Bebe🥰 :
Me nimekupenda shekhe umeowa🥰🥰🤭
2025-10-07 12:28:38
10
⃣MINAH🌹 :
Kwaio wenye jad tufanyaje
2025-11-06 21:06:18
0
Official_Sharukhanbubu :
shekh umefafanua vizur ila bado kuna codes hujazifungua huyu jadi au hii jadi hawa wazee wetu walizitoa wapi au kilianza nn hasa hadi wazee wakawa wana hivi viumbe ? I mean vilitokea wapi hadi iwe kila watu wawe na hyo jadi
2025-10-06 13:29:36
19
abui mbilizi :
Sasa umesema usupo muezi ata kusumbua na ukimuenzi ni dhambi sasa tufanye nini na yeye anauwezo mkubwa
2025-10-29 05:33:37
0
🦋TUMA BOUTIQUE🦋 :
Nikweli brother Umeongea point kabisaa jadi inasumbua sana
2025-11-03 20:17:05
0
user910865006368 :
Hakuna Jin yyte anaekaa mwilini alokua hana madhara. Jin ameumbwa kuabudu na sio kukaa kwenye miili ya watu. Anapofikia kukaa kwenye mwili hua kishakua shaitwani na shaitwani kazi yake kubwa ni kuleta madhara. Kwahio awe Ruhani awe makata, mahaba, Bahri yyte Yule wkt anakaa kwenye mwili wa mtu ni shaitwani na analeta madhara kwako.
2025-10-07 21:02:38
4
mariam ruun :
jadi means what??
2025-10-08 14:15:23
0
user512170530932 :
tunamtoaje huyu jini wajad na kutupa mikoba
2025-10-07 21:40:57
1
يوسف :
Kuna code flani hujazijua..Nikulize swali kuhusu ruhani je anapanda au hapandi?Tuanze hapo...
2025-10-07 11:10:46
0
Salhah :
Tiba yake.nn
2025-10-14 12:06:23
0
Magreth Mrosso :
Amen
2025-11-03 15:38:33
0
kitwana :
sasa ostaz unaweza kuwa na jini wa jadi na ruhan kwa pamoja
2025-10-07 11:08:42
1
Ummy 3boys :
Je tiba yake kuu niipi kwa mwenye jadi ili asisumbuliwe na iyo jadi tena
2025-10-07 20:11:01
0
Zanlife Tours :
dah 😩😩😩 family yng tuna teketa na hujui hta tuanzie wpi jadi una tutesa san
2025-10-06 16:54:20
0
Njerai :
na je mm na familia yangu naeza jitenganisha vipi na huyo wa jadi maana babangu anamuenzi ...japo siishi hapo lakini wanna wanasumbuka na maradhi
2025-10-06 12:27:22
1
fettymalingo :
JAMANI NAYAPITIA HAYO HATA SIJUI NISEMEJE KUHUSU IZO TAFARUKU
2025-10-06 13:23:07
4
Mrs nyange tz 💯❤️ :
shekh nakupenda kwaajil ya Allah umenifanya mpaka nimekufollow🥰
2025-10-17 13:09:53
3
Shkhmautamu@# :
mja asalaam alehykum mke wangu anafatwa na njiwa mweupe kwenye biashara yake lkn inavyoonekana hakuna mtu anamuona zaidi yake yani juzi alitua juu ya deli akafunua mfuniko kumtolea mteja kitu njiwa ajakimbia na mteja ajauliza kuhusu njiwa je hii ni nini
2025-10-06 18:28:00
0
Nyota ya kheri🌟 :
Masha Allah, Mungu azidi kukupa umri mrefu sheikh.
2025-10-07 05:35:07
6
mimi" :
kwa bibi yangu kuna kinyamkela
2025-10-06 15:23:38
1
Rahesam🦋 :
Point
2025-10-18 12:23:32
1
antoniamatingisa :
Asante shekh umenigisa sana
2025-10-06 13:12:30
1
Zahra :
Allah azidi kukuongoza katika mafunzo mema
2025-10-15 14:49:15
1
Halima :
Mashaallah akhy shukran kwa elimu 🥰
2025-10-06 12:15:07
2
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm
homepage.