@ufr_tz: Magari mawili aina ya Toyota Land Cruiser V8 na Toyota Carina yamegongana asubuhi ya leo, Oktoba 6, 2025, katika barabara ya Sonda, na kusababisha uharibifu mkubwa wa magari hayo bila kusababisha vifo, kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo. #ajali #tabora #ufr #radioyetusautiyetu #uyuifmradio
V8 inafichwa plate number carina inaachwa wazi plate number 😂😂😂
2025-10-06 19:01:36
502
Juma Abdalah :
V8 SIO JINA LA GARI NI PISTON 8 AMBAZO KWENYE INJIN ZIMEKA KAMA (V) NDIO MAAN TUNAITA V8 YAAN PISTON 8 JINA NI LAND CRUISER NJOENI TENA MNIKOSOE
2025-10-06 20:37:56
191
Maxwel Davis :
Unaweza kuwa dereva wa miaka hata 20 lakini bado ukawa hujui kuwa hakuna sheria inayomtaka mtu akisababisha ajali alipe pesa kwaajili ya kutengeneza gari aliyoisababishia ajali,narudia tena hakuna sheria ya kulipwa ukisababishiwa ajali piga ua galagaza hiyo sheria huipati wewe mwambie tuu twende mahakani nikakulipe😂😂mkifika kule muulize nakulipa kwa sheria gani😂
2025-10-08 11:02:20
11
eliudogalo (ja naam). :
mbona kama kalewa uyu
2025-10-06 18:53:10
257
KIng_j_magari :
Toyota Carina katoka barabara za mtaani na Toyota landcruiser yupo barabara kuu ni nani anatakiwa kuwa muangalifu kulingana na anapotoka kwa sheria zetu za Tanzania pia kila dereva anatakiwa kuendesha udereva wa kujihami tuzingatie so wataalamu najua mpo hapa naomba mawazo yenu?!
2025-10-07 10:57:42
17
Aries 21st March. :
huyu jamaa amelewa na huwezi kumiliki LC ukakosa insurance ya kukulipa , au amekodi mbona hafanani nayo 🤣🤣🤣
2025-10-07 04:16:31
5
Babra🥰🌊 :
Diamond nae shahid🤣
2025-10-06 19:37:26
37
P R I N C E 🥤 :
Huyu naseeb mnamuelewa lakini.....??????
2025-10-07 07:12:15
16
imah jr :
uyo mwenyew kalewa apimwe ulevi na yy
2025-10-12 12:22:46
0
Mrs No Name🌸🔞 :
Uyo shahid wa pili anaongea nin 😒
2025-10-06 19:43:19
28
user8156114797940 :
Mwenye carina inatakiwa akimbie mashuhuda wa ajali hiyo wakimbie na watazamaji wakimbie 🏌
2025-10-07 17:25:47
1
It’s me pinange🌹🦋 :
Kam nilaserikal watatengenezea ela zet wanaz chukua bwan
2025-10-07 03:42:15
4
🇯🇲 :
bona kama kalewa 😂
2025-10-06 19:36:32
5
zitto_2 :
Taa tu 1.7million
2025-10-07 06:51:13
0
Serhafinah malecela :
😂😂😂Walivosemaaa carinaaa nataman ex wangu ndo angekuaaa anadaiwaaa v8😂😂
2025-10-06 19:39:25
1
calvin_357 :
Braza mbona kama amepiga vyombo
2025-10-06 18:55:43
11
MORVA (jofrey) :
kwan huyu gari yake ni ipi kati ya hizi
2025-10-06 18:59:39
62
Hoty_hans☑️ :
V8 ndo gari gani ndugu muandishi?? 😳
2025-10-07 07:46:27
2
iam_p02 :
jamaaa kalewa huyooo so yy ndio anamakosa
2025-10-07 06:24:21
0
Miss Naah🤍🦋 :
chakutembelea kimegoga gari😁😁
2025-10-06 20:47:32
6
hency :
kwani gari kali hapo ni ipi maana mii nasikia tu jina la mtu carina
2025-10-07 16:09:40
4
Mc Lameck Simbo :
Carina vs V8.(carina vs land cruser vxr)
2025-10-07 02:55:01
3
Adam :
ndio pale unanunua gari bei ila kulihudumia ndio huwezi
2025-10-12 11:09:29
1
Omary :
mbona hiyo V8 hamuoneshi plate namba? wakati Carina mnaionesha plate namba