@etltv777: Wakristo tuamke jameni.

End time Loudcry Tv
End time Loudcry Tv
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 07 October 2025 11:41:11 GMT
44126
829
544
63

Music

Download

Comments

_ramadhankuria
Ramadhan Kuria :
Wekeni mkutano kwa Stadium au sokoni sio kwenye viwanja vya watu binafsi
2025-10-07 22:53:36
91
user4177482232141
user4177482232141 :
huyo mama anatawaliwa na pepo mchafu,,, ashindwe
2025-10-19 21:32:25
0
teacherdenniskauga
Dennis Kauga _ 0710843386 :
huyo Oria ako sawa mbona muende kwa boma la mtu bila idhini?
2025-10-08 04:26:02
80
qimjose
Qim Jose :
Boma ya waria ni nini?? Hapo ni kenya??
2025-10-09 11:20:12
1
user8174800848022
Imran Abbas :
Injili ya Shakahola is rejected
2025-10-07 14:52:26
14
dyueaycn196z
mwaù196z :
mimi sio muislamu lakini kwenda kupigia watu kelele na kitu hawataki unawalazimisha hapa utauwawa nanii
2025-10-07 17:56:00
32
abdallahdawud5382gmail.c
T-CHA :
TOENI MAKELELE KWA WATU WANATAKA KUPUMZIKA NJOON UWANJANI UKU TUPAMBANE
2025-10-15 07:33:07
0
jkma.mushkll.naiy
Jk@ma mushkll naiyie :
Mimi huambia watu uisilamu ndio andui ya ulimwengu wakitawala Hawa htakuwa na uhuru hata wa kuambundu
2025-10-07 17:33:09
19
abdimalik6102
Abdimalik :
toa kabisa,ni kelele tu wanataka kupiga apo,ukiristo sio dini
2025-10-07 12:22:53
25
abdirahman2340
abdirahman Abdi Hassan :
mama ume fanya kazi ya maana sana well done 🥰🥰
2025-10-08 03:53:10
76
passwordfg4
GEDOO ONE MAN ARMY :
from her frst approach the way she stated "huna heshima hata siku moja "it means she gave them enough time to leave peacfuly u should hv recorded that frst phase also anyway kudoz mdm👍
2025-10-08 20:31:41
6
angasu009
Hon:harun :
well done ✅❤️🙏 my lovely Mom ❤
2025-10-08 04:54:52
27
rashidweringa
sheed :
huyo pastor ni fala unatresspass kwa wenyewe, ni kama mkisii
2025-10-13 05:30:33
1
fredy.condrad
fredy condrad :
wakristu wote duniani tusikate tamaa maana yu karibu yesu kristu atakuja kutuchukua
2025-10-07 20:20:43
3
stephenotieno285
otienomanstevoh :
which Kenya are you talking about?
2025-10-07 14:05:42
1
anthonykithuka205
Anthony Kithuka :
hivyo divyo mpinga kristo alivyo
2025-10-07 12:13:29
6
fadhilimagana
Fadhili Magana :
kwan c wangeweka mkutano hata uwanja wa shule ama sokoni wakiongea na uongoz uliopo, mbna hawa makafiri hawatumii akilli
2025-10-08 04:37:27
3
kennah03m
kennah03m :
hata yesu aliwaai tandika watu wajingaa
2025-10-07 15:17:16
1
user406594857
Kikuyu beb🌟🇰🇪🇬🇧🇱🇷🇿🇦 :
hio ni bona ya mtu ata nyinyi toeni unjinga kwa mwenyewe
2025-10-08 06:14:11
10
emmaculate336
shan@2 :
n wapi huku tukuje tueke crusade for one week hadi uyo mama aokoke
2025-10-08 04:12:19
1
muftijunior3
Omar Abdullahi✨ :
she's right mbona muende boma za watu kwani hakuna stadium or plain area ama sokoni
2025-10-08 08:36:14
4
farxaanyare989
farxaan989 :
huwezi enda kwa boma ya weynyewe enda wa public stadium ama road sides bro
2025-10-10 09:08:51
3
euniceogello
euniceogello :
wewe unacheza na hiyo oriah mwenye majini nyingi, iingekuwa ni mimi angeona MOTO WA YESU KRISTO MWENYEWE hata hakinge karibia, IN CHRIST JESUS MIGHTY NAME AMEN AMEN
2025-10-07 20:44:11
1
user78160828141708
jpcooper :
hatutaki io injili kenya
2025-10-07 17:06:07
2
marlyn2545
Naima :
Tokeni mpeleke injili kwa wakristo wenzenu
2025-10-07 16:29:28
3
To see more videos from user @etltv777, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About