@mrromantic273: ## Usinione nikiwa nafuraha Usoni kwangu bari nina maumivu mengi makali ndani ya moyo wangu, kwakua najuwa kua Sina Thamani tena ndani ya moyo wako, Najuwa kuwa thamani ya upendo ni pale mnapo pendana tu, Zaidi ya yote nakuombea kheli na Baraka tere kabisa ya uko unako kwenda, Hofu yangu ni kuwa mimi nilikuwa nakupenda sana ila uko unako kwenda sijajuwa JE..? Utakuwa na uhakika wa kupendwa kama nilivyo kuwa nakupenda mimi..? Lakini kwasababu ya upendo wangu wa dhati nilio nao kwako na Wahenga wanasema "UPENDO WA KWERI HAUFI" Bado nitaendelea kukuombea kheri na baraka na upate yule Ambae anataka kufanya kama ambavyo nilitaka kufanya mimi mazuli kwenye maisha yako.. 😥 😥 😥