@rakasbinziid: *chapati* Unga kilo 1 Mafuta vijiko 3-4 vya kulia Sukari vijiko 3 vya kulia (kama unapenda chapati ya chumvi zaidi punguza sukari) Chumvi kijiko 1 cha chai Maziwa ya unga vijiko 3-4 vya kulia (sio lazima ila inaleta ladha nzuri zaidi na rangi nzuri) Maji vikombe 2-3 kisia na unga wako Samli ya tabaka (vijiko 4 samli na 3 mafuta) #CapCut
Rakas
Region: IE
Tuesday 07 October 2025 17:24:30 GMT
Music
Download
Comments
Thawabu Mbarouk :
tatizo sukari kwenychapati hapana
2025-10-09 07:46:53
0
Simple Tasty Ideas :
hiyo samli nitapata wapi kama hiyo yako
2025-10-09 04:23:59
0
Bby girl once again halla 👍📌 :
kwa ushagalani hii aifai labda ukirudi kwenu ASANTE
2025-10-09 06:56:14
0
Wu Jing :
chapati inashikwa mno Hadi inakuwa uchafu sasa
2025-10-08 17:55:29
0
magdalena mahu :
samali.kama.sina.
2025-10-09 05:18:45
0
mattie🦋 :
Daah inabd kuamka saa nane ucku ili saa mbl watu wale izo chapat mapumziko yamekuwa meng
2025-10-08 06:58:13
1
️ :
acheni makasiriko wengine hata chapati hamjui kupika mnatupikia chapati zenye madoa ya chui
2025-10-09 05:53:08
2
Msafiofficial :
SASA HUO SI UCHAFU ME SIRI😂😂😂
2025-10-08 20:21:31
0
Sharifa :
Chapati ya kumlaghai mwanamme Mashallah 😁😁😁
2025-10-07 18:25:50
41
Queen Leo :
maji ni ya uvuguvugu au baridi?
2025-10-08 16:53:44
0
veecah♥️ :
sasa tutakula saa ngp 😂😂
2025-10-08 16:15:55
6
ennah112 :
Wanwak tupendane 🙌🏼 hasbiyaAllah
2025-10-08 22:17:27
4
Ester masaga :
Masaa matatu umeamka saa ngp kuandaa hizo chapat na familia ina watu 6🙄🙄
2025-10-08 06:25:09
23
Brightwell 🖤 :
sasa hizi ndio chapati😂😂😂 achana na zile ubongo kids ninazo kulaga
2025-10-08 17:14:10
5
bintmaduhu :
samli initwaje hiyo
2025-10-08 16:44:51
0
kidorrydorry :
Nshajua ttzo langu sina uvumilivu…ila muda nautoa wapi? Labda niamke sa 11
2025-10-08 20:18:36
1
Saidi Machuku :
daah mi naitaji uniandalie kwaajili ya kula na familia yangu. napataje
2025-10-08 08:56:57
1
mariamkaunga :
unga gani huo?
2025-10-08 15:14:03
0
frost :
ukimwambia mkeo akupikie hizi..,alafu akujibu et zinachukua muda sana acha hiyo mbuzi haijui kupika chapati
2025-10-08 17:06:46
3
ZNZ🇹🇿🇴🇲 :
kuna mm nikipika zinakakamaa kama maiti iliyoungua moto🤣
2025-10-08 09:23:06
2
user Cute Maida :
kwenye masaa matatu umeupiga mwingi🤣🤣🤣🤣
2025-10-08 17:35:53
0
L:KAZUNGU🇹🇿🇹🇿☑️ :
Samli ni nini
2025-10-08 10:51:03
2
sukhaira Saidi :
masaa matatu nasubilia chapaty unataka niachike
2025-10-08 19:50:36
0
Kibibi Salim :
unapima madonge gram ngapi?
2025-10-08 02:11:08
3
Chunnuh❤️ :
Maelekezo yote nimeyaelewa ila penye kufyandafyanda ndo nmeelewa zaid🤣🤣🤣
2025-10-08 21:22:20
0
To see more videos from user @rakasbinziid, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.