mnatishiwa kifo kumbe ni kama kufungua ukurasa mpya tu.. hao wote tunaishi nao humu humu ila wapo katika miili tofauti na ile tuliyokuwa tunaijua.. hutakiwi kuogopa kufa ukiogopa utaishi kwa mateso hofu na kila aina ya matatizo na ndo purpose ya dini..