@dr.fathy.saidi: FOLLOW & LIKE 👍,TUMIA MAJANI YA MPERA NA NTANGAWIZI KWA KUKUWEZESHA KUPATA UJAUZITO AMA MAMBA KWA HARAKA SANA, dawa iyi inakufungukia miriji ya Uzazi na usafisha kizazi na inakumalizia maumivu MAKALI kwa wale wanapo fanya tendo la ndoa wanaumia Sana na UONDOA maumivu kwa wale wenye kila wakingia kwenye siku zao tumbo linawauma sana na UONDOA infection na pia inakutunza vidonda Vya tumbo, Utumiaji chukua kiasi cha MAJANI ya MPERA na tangawizi vichemshe sana Kisha tumia kwa siku Saba asubui na jioni KIKOMBE kimoja kimoja Utakuja KUNISHUKURU #fathysaidi #guavaleaves #usa_tiktok #canada_life🇨🇦 #australia
dr.fathy.saidi
Region: ZA
Friday 10 October 2025 11:10:55 GMT
Music
Download
Comments
Miss issa :
mimi shida ni Ute sipati
2025-10-10 14:31:02
12
sky girl 💞🧚♀️ :
mamy samahn iyo tangawiz unaikatakat au?
2025-10-10 11:17:39
3
Annie :
dada tuiname aotukunye
2025-11-13 19:19:29
0
bellahroseojiambo :
nisaidie dadangu over 10 yrs of searching
2025-10-10 17:28:00
5
user52541133998045Zubeda :
Mm Nina tatizo la tumbo kunguruma chin ya tumbo na period haitaki nisaidie sster
2025-11-20 09:44:06
0
sheila towett :
wakati wa period ama after period
2025-10-10 19:04:36
3
Yusco :
madam dawa ya kumkinga mama mjamzito please
2025-10-11 09:24:18
2
lisie :
mer nikuinama amaje
2025-11-21 19:11:36
0
sally mbeyu :
mm nipata mimba, two months, Huwa nahisi maumivu mpaka Ile mimba unatokaikiwa 3 months
2025-10-11 12:36:52
0
Vivy 😇🥰 :
mimi shida yangu mirija nmezimba saidie dadangu
2025-10-10 17:31:20
1
Lydia Kitenge :
mimi shida ni mume wangu dada anaweza kutumiya izi dawa?
2025-11-10 04:02:14
0
Hassanoo🇺🇸 :
Wanaume wanaweza kutumia pia naje inasaidia nin kwa wanaume
2025-11-15 05:11:10
0
Elisée liliane :
nimimi njema ni sizale
2025-10-11 19:49:49
0
madiphat :
tunatumia je? kwa kunywa ao?
2025-11-05 11:09:50
0
chadiasafari :
Merci
2025-11-06 22:18:49
1
user3403621094822 :
maji batatiakadirikani?
2025-10-12 21:48:09
0
Marie Émile :
mamy jo mie ule
2025-10-10 19:35:16
0
user148681178449 :
unakunywa
2025-11-15 19:40:32
0
fay 🥰 :
mimi shida yangu ni period inatoka kidogo sana
2025-10-11 06:55:09
2
marionexwake :
usaidizi plz
2025-11-16 14:01:58
0
Rose minja :
mimi cpati period kabisa nifanyaje
2025-10-13 11:14:12
0
Harima Nisar Ahmed 🥰 :
jamani miaka 6 sijapata mtoto Sijui nifanyeaje nimejalibu namna zote 😢
2025-11-11 12:15:59
0
user61925129471543 :
mwenyezi.mungu.aendelee.kukutiya.nguvu.asante
2025-10-10 16:25:42
0
user2670722330403 :
mimi sipati ute
2025-10-18 09:43:42
0
Mrs. Tevver💞 :
mimi sipati ayo maumivu lakin sipat mimba
2025-10-11 14:36:07
0
To see more videos from user @dr.fathy.saidi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.