@mpashonews: Meet the new Miss Lang’ata 2025, crowned today at the Lang’ata Women’s Prison Beauty Pageant.

MpashoGram
MpashoGram
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 10 October 2025 16:31:08 GMT
267827
11676
542
826

Music

Download

Comments

nyeri250
NGÎMA MACHARIA :
kwani prison life ni soft
2025-10-10 17:43:14
681
prollynotfrings.__
𝓕𝓻𝓲𝓷𝓰𝓼.𝓿𝓿2 :
Sasa huyu alifanya makosa gani?😂
2025-10-10 16:49:14
89
floramamake.t
Floramamake T🇰🇪 :
kwani kuna mikorogo lang'ata wajameni
2025-10-10 18:39:08
107
kyla.shiks
Kyla w :
Hizi video zinatokea kwa fyp kwani hii ndo final destination yangu guys 😩😩
2025-10-10 19:44:28
878
maeiran2022
user83095070217708 :
even Joseph was chosen in prison..ur dreams are valid
2025-10-14 06:18:58
2
naimaibrahim3505
content queen :
Unatafuta soulmate wako kumbe ako prison 😂😂
2025-10-10 17:50:58
228
tessa.kim39
Tessa Kim :
anafanana sister ya Diana bahati
2025-10-10 17:31:34
477
nanciehhot20
🥰Njery🇰🇪 :
what did these beautiful ladies do aki😭😭😭it's painful watching all these beauty rotting in jail
2025-10-11 19:04:05
8
waringa254
anita :
kuna mmoja apo alistab chali yake 18times ama ndio 20 waah🫴
2025-10-10 18:28:18
44
254updates1
254 Updates❤️ :
Huezi amini wote waliua mabwana 😂😂😂😂😂
2025-10-10 19:06:50
7
professors002
professor :
just a question wasichana wako prison huwa wanateswa?
2025-10-13 18:03:55
1
dianaalbert28
Diana mso💋💗💓❣️ :
na ni warembo aki ....
2025-10-10 16:42:11
139
tina09cn
Tina bae :
Sasa huyu alifanya nini?
2025-10-10 18:53:53
3
itsgladoh
it's glad :
acha nideal na huyu wangu ndo niwajoin it seems fun
2025-10-10 18:20:10
111
katheuj
Jen🌸 :
Najua tu ni wanaume wamefanya hawa madem wakue Huku ni vile sina prove.
2025-10-11 01:10:28
155
tuni8301
fartun😘💍❤️ :
ayayeeeh😋🥰kwani prison kumeanza kuwa kutamu hivi😂😂eish
2025-10-10 17:26:25
26
tabbymusic3
SAVAGE 🌟 :
huyu aliua pia 😂😂😂
2025-10-12 06:05:39
2
jordinho_mcheezy
Jordan🇰🇪 :
najua mko huku mkitamani muende langata maumbwa😁
2025-10-12 02:30:17
2
anonymous.lioness64
Anonymous.Sya :
Na iwe mara ya mwisho kuwaona Kwa fyp yangu .
2025-10-11 03:34:58
33
official_rickky
R.I.C.K.Y :
hii urembo your inafanya nini jela surely? malisafi Safi wako ndani tukabaki na maninja warriors...😂😂😂
2025-10-10 21:25:04
20
freespirit446
freespirit🦋😇 :
hizo nguo hua wanatoa wapi
2025-10-10 19:00:07
3
jaiyanagertrude
jaiyangetty :
huyu nayeye alifanyaga nini
2025-10-11 07:53:27
0
gisorejr37
Gisore :
kama wewe ni dem na fyp Yako inakuletea Hawa WA langata nyota Yako imeanza kukuita😂😂😂,
2025-10-12 07:43:37
0
godchoice09
Godchoice09 :
Hawa ni wahalifu mnawarembesha hivo🤣🤣
2025-10-11 07:33:46
2
manu_ellah07
Manu_Ellah07 :
nifanye nini ndio nijikute uko??🤣🤣
2025-10-11 10:23:33
4
To see more videos from user @mpashonews, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About