@nairobi_express: A Lady Says That Her Village Relatives Can’t Stay In Town For More Than A Day When Invited, Because They’re Too Attached To Their Cows Back Home Video Courtesy: @Aunt Janae ▶️Nairobi_Express ▶️Nairobi_Express ▶️Nairobi_Express #nairobiexpress #cows #nairobitiktokers #foryoupage❤️❤️

NAIROBI EXPRESS
NAIROBI EXPRESS
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 11 October 2025 11:08:22 GMT
391651
20214
1306
1938

Music

Download

Comments

kamahaiwezihaiwezi
Marcos🇰🇪 :
I doesnt make sence to them kuacha ngombe.........ushago wakatembelee ingine town 😂😂😂😂
2025-10-11 13:12:51
1624
taliaswan
Havila playhouse blogs :
Can you resign your job and go visit people 😳?? Let’s respect people hustle. Hio ngombe akiuza ni 80 k to 100 k
2025-10-11 17:58:26
855
joynerlitegmail.com
Joyner lite 🇰🇪🇪🇬 :
huyo relative Ni my mom Na ng'ombe yake mshenzi inatoa 2ml 🤣🤣🤣Na huwezi ongea Kuhusu hio ng'ombe.atagombana kila MTU ajue .
2025-10-12 12:10:49
0
auntieminaa13
auntie wa Oman❤️❤️❤️ :
Eti mamangu hawezi ni visit Mombasa juu ya mbuzi Na kuku😩
2025-10-11 12:04:33
518
ephah.walker
ephahwalker :
The same way you don't go to village coz of your job!
2025-10-12 04:22:52
190
salehdeen
Salehdeen :
Hio 300mls a day ndo ilikulea… wachana na maisha ya watu… enda huko uwatembelee na ngombe zao.
2025-10-11 19:49:10
46
.simoe
user755650436443 :
ng'ombe ya ushago iko na value kubwa kuliko hiyo ya nairobi.
2025-10-12 04:50:02
47
aishabilali3
Aishabilal339 :
Wewe unaweza acha job yako for a week just to visit people 🤔? The answer is very obvious 🙄 now you know
2025-10-12 09:16:33
0
engwyclef
Engwyclef A. :
Na hizo ngombe ndo tunawaoa nazo. Kumbafu saana 🤣😂😂😅. Lakini hii post imeenda kabisa in a group of schools and graduated in an academy 🤣😂😂
2025-10-12 12:21:07
0
user5923971316002
kay :
ng'ombe ni muhimu bana ,watu hulipwa school fees nazo. am sure hujui bei ya ngombe moja ata we labda huezi afford
2025-10-11 12:15:46
279
mrso640
Mrs O💝🥰😘 :
300ml umeenda mbali 50ml😁
2025-10-12 09:47:39
1
gregkyalo
GREG🐐 :
mathe ashai nishw kama anaenza tuma mtu mwingine akuje my graduation juu haezi acha ng'ombe alone😭😭😹
2025-10-11 13:59:26
40
ladyme174
lady me :
Huyu anasema 2-3 days na mama yangu huwezi mpeleka out 2 hours, juu atakua amemention ngombe mara kumi, ' sasa ngombe imeekewa maji kana nû kwania kou😭, reu maa re, acio nimekereire ngûkû maî?' 😭😭😂😂😂
2025-10-11 18:11:10
15
stayzen13
Zen_pole fairy 🧚‍♀️ :
sijai ona mtu anacomplain wageni hawakai sana 😂😂💔
2025-10-12 07:55:23
7
mutuma_child_protection
Mutuma Kinoti :
You're struggling to get the village out of your life. Unfortunately the chains hold you strong. keep running. At least your relatives are real.
2025-10-12 02:50:59
15
_alphadennis3
_alphadennis3 :
Nilienda a wedding ceremony, people from Shagz wanaharakisha Mc masaa ya kumilk isiwapite😂😂😂. N/B :Lack of exposure
2025-10-11 19:20:12
2
jemelivivian
Viv😘 :
now come here mam haezi travel to meru for my graduation juu "nani atakama"😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-10-11 18:55:41
7
nimu869
Icy Rhene :
Weee wacha kuziongelea vibaya
2025-10-12 06:41:28
2
peterngash10
peterngash10 :
nimekwama hapo kwa 300ml.......tumigoco!!!!
2025-10-11 11:33:31
95
gods.princess44
God's princess :
wewe unaweza kosa kwenda job ukae izo days ushago
2025-10-11 14:10:31
15
ay30186
ay :
siwezi abandon ngombe mashamba niende tao kuona ingine
2025-10-11 18:34:14
7
yobimuchokozi
braxymonker :
everything was good until I heard......simuziuwe 😂💔💔💔💔🥲🫢🫢🫢👌😂😂😂💔
2025-10-12 00:26:28
7
icy.pipo
icey kip ☀️ :
Not everyone likes the city life full of traffic buildings and chaos. The village life of nature and tendering to animals is satisfying to their souls.
2025-10-12 08:29:37
1
jasuba01
Joe Jasuba :
those are good relatives...
2025-10-12 11:40:25
2
mwex00
KATRINA 00 :
300ml got me😂😂
2025-10-11 11:59:26
6
To see more videos from user @nairobi_express, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About