aki sahii niko kwa kina bwana nimekaa 2wks kazi zoote mh nd hufanyq na niko na mtoto mdogo..mum anaamka anaenda kwa shamba kurudi ni 2pm na akikuja apate sijapika lunch ananikasirikia
2025-10-11 19:16:09
3
feidion2 :
wakale msikie hii🤣🤣🤣
2025-10-11 21:21:38
6
Missdollar🇰🇪🇱🇷 :
hao wakupeleka mabibi ushago. ni wafanyilazi wanatakaga. watu wa kusaidia wazazi wao kazi.. then the man anarudi mtaa kuenjoy na the love of his life...
2025-10-11 20:58:24
2
nothing hard :
wewe panga kwako hata sidhani kama ndoa yako hiko sawa wangu ako home but we love each other ni mke na nusu
2025-10-11 21:44:40
1
domydee :
Kaaa na wako buana 😂😂😂😂sisi usituadvice
2025-10-11 20:32:16
1
my love :
Na wenye wko gulf 😳je
2025-10-11 17:40:26
1
Gaidi 🥰😹 :
niko na bestie yangu aliolewa na Askari bibi anaishi home mwanaume Nai 🤔🤔na demu ako na 25 yrs sometime nahurumia bibi walai
2025-10-11 17:38:34
2
Bella :
weny atujaingia kwa ndoa tarifa ndio hiyo
2025-10-11 19:17:09
7
baby maa♥️♥️♥️ :
very true bor
2025-10-12 02:25:19
0
user8781760191236 wa mulungu :
waambie bro
2025-10-12 02:32:59
0
user2669965517832 :
na mkiwa kazi wote but not in same place
2025-10-12 02:05:56
0
angel :
my first relationship nilikuwa naachwa kwa wazazi yeye anaenda nai😭😭😭...but my current one tunafuatana kama siafu guys am first priority 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2025-10-11 19:46:07
1
becky 785 :
wangu leo nmemwambia nadai kuenda home akaniuliza nani amenioa huko home hivi nikimuacha nrb namuachia nani😅
2025-10-11 22:52:43
1
Journalist Videlis Mochoge :
Nataka Sponsor 😊😊😊
2025-10-11 16:18:38
4
mamakejonte :
hizi nongwe huwa hasiambiliki bro baadae wanaanza kujikuna makende ju ya kisonono
2025-10-11 21:40:57
0
Purity❤ :
wambie😂😂😂kweli
2025-10-11 16:17:59
3
Maryanne nthenya♥️ :
true
2025-10-12 02:23:01
0
blackbeauty :
if I can't stay with my man murife kwani iko nni 🤣🤣🤣
2025-10-11 16:40:03
3
mamake melisa❤️@Mrs Daniel :
🥺🥺una manisha mme wangu yuko sahihi hata kujulikana sana kwao hataki anasema niki kupenda mimi ina tosha😔😔😔
2025-10-12 02:11:54
0
man u goon :
it depends ndugu unafanya kazi wapi for example wewe ni mwalimu na unafunza Mandela ama wajir utambeba muishi na yeye ama
2025-10-11 23:36:55
0
babraa girl🥰💋 :
infact it is our first time to be in these earth watu wapunguze advice oswoooo🥺🥺
2025-10-11 21:49:36
0
user918487218531 :
very true
2025-10-12 02:01:42
0
Colleta Kiluki :
kabisa ata kama sijafika broo
2025-10-11 16:25:28
2
nothing hard :
wangapi wanangongewa huku tao wajana bana
2025-10-11 21:47:13
1
floradominic :
hua unaongea ukweli
2025-10-11 22:22:47
0
To see more videos from user @videlis0mochoge, please go to the Tikwm
homepage.