@itcvanny1: #tiktok trending song #viral #fypシ゚ #tiktoktanzania🇹🇿 #CapCut #challenges_tiktok #foryoupage I miss my parents😭😭💔🕊

itc-- vanny
itc-- vanny
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 October 2025 06:17:15 GMT
380
40
23
1

Music

Download

Comments

cancute18
cancute :
pole rafiki angu,,tuéndele kuwaombea🤲🙏
2025-10-12 22:02:13
0
lulylyimo
lulylyimo😇 :
Happy birthday twinie pole kpnz chng😪
2025-10-15 11:33:41
0
nishermayrah
Nisher ms.Jf🥰 :
tuendelee kuwaombea wazazi wetu udugu wangu🥺
2025-10-12 07:57:54
0
mssmile74
Nanah-me🦋❤ :
mungu awarehemu wazazi wetu😭😭😭😭😭😭
2025-10-13 09:34:31
0
officialmwanah21
official mwanah :
Birthday blessings toto❤️❤️🥰
2025-10-12 11:08:04
0
callmealice60
Call me Alice :
pole udugu na mungu azidi kukupambania tupo pamoja🥰🥰
2025-10-13 08:00:23
0
happinesstuppa
pretty🦋 :
😭😭😭 pole jaman dadaang kipenz pole saana
2025-10-12 11:06:03
1
momoh02546
momoh❣️🥰 :
uish maisha ya furah siku zote kpenz chang🥰🥰🥰
2025-10-12 06:24:02
1
mtotowanan
MTOTO WA NAN (👑) :
pole na honger kwa kuongeza namba kipnz
2025-10-12 07:49:16
0
user5059179037188
masasi10 :
heri ya siku ya kuzaliwa pia pole
2025-10-12 16:44:32
0
happinesstuppa
pretty🦋 :
heri ya siku yako ya kuzaliwa kipenz Allah akubarik akujalie heri katika miaka yako nakupenda saana jaman 😘😘
2025-10-12 11:07:40
1
happinesstuppa
pretty🦋 :
Dadaang kipenzi🌷 Kila wakati ninapokuona, nakumbuka upendo, wema na nuru ya dada yangu aliyefariki — na wewe umeendelea kuwa alama ya faraja moyoni mwangu. Umeleta tabasamu mahali pa maumivu, na ukawa baraka isiyoelezeka. Nakutakia siku ya kuzaliwa yenye amani, upendo na mafanikio tele. Mungu aendelee kukuweka salama na akupe maisha marefu yenye furaha 🤍NAKUPENDA saana pachaake dada 🥲🥲😘
2025-10-12 11:28:10
1
rammygirl67
rammy girl🥰 :
🙏🙏
2025-10-12 08:52:20
0
didihussy
Diddy :
😭
2025-10-12 07:52:07
0
To see more videos from user @itcvanny1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About