@kelvin_plumbing_tz: wanataka kunimaliza kweli baba😂😂😂😂

user96249210829
user96249210829
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 October 2025 07:04:43 GMT
708745
9332
663
603

Music

Download

Comments

matronakabyemela
oficial matii :
maskin wanataka kukumaliza kweli
2025-10-12 10:59:30
112
sirkomba
@Engineer :
uyu jamaa wa mti anasukumiza sehemu tank lilipo egemea🤣🤣🤣🤣
2025-10-12 17:07:09
50
user1031297257227
Barakz :
hapo mwenye ametumia akili ni moja tu
2025-10-12 16:33:20
1
michael.manyanda8
Manyanda Msukuma. 🇹🇿 :
ukipasua hio tank lak 8 na 80.sasa kuongeza watu muwe hata 6 shida IPO wap?
2025-10-12 11:41:39
6
user8613911481767
Binti ake babaa🥰T²😘😍 :
huyuuu chaliii hataa akiombwa helaa anakimbiaaa hiviii😂🤣
2025-10-12 17:43:59
6
magembemahangila
Magembe Mahangila :
ungepost TikTok hii ingeenda mbali sana.
2025-10-12 14:11:04
4
user6525869267848
aldocutey💓💓💓💓 :
hio n kifo inaogopwa hvo🤣
2025-10-12 11:12:54
2
user764312814
dany :
hawa wanafanya masihara na pesa..sasa huyo aloshika mti ana kazi gani hapo??yy ndo alitakiwa alirushie ili liwe na ballance
2025-10-12 11:27:40
1
electricalworksjanarok
fredyjawaya0 :
kwani nyinyi wote ni bure tu
2025-11-07 14:06:39
0
madam.happiness.bana
Madam Happiness Bana :
afu nimelichezea mchezo miez sita aisee mtalitaga🤣
2025-10-12 11:52:28
1
code_queen69
Code queen :
huyu msenge wa kushoto alikuwa havuti
2025-10-12 08:51:35
10
muskfoundation12
MUSK FOUNDATION :
😂😂😂waogopa kwa kina kifo ndugu😂😂
2025-10-13 14:25:19
1
fauziamoh
Faiza mohammed :
Umefanya nkajigonga kichwa kwa ukuta wakat unahepa 🤣🤣🤣
2025-10-14 12:21:49
1
user3061523182300
C. M.N@# :
na wenye kuvuta na kamba tank ikifika watasimama wapi jamani🤔🤔
2025-11-08 16:51:31
0
user3152796579546
RATESH :
hamuezi kua na ujinga hivo niwanyime like😂😂
2025-11-11 17:26:06
0
vanset.tz
VANSET TZ. :
walioko juu ndy wanamaisha ya hao jamaa walioko chini😁😁😁😁😳
2025-10-12 13:16:47
1
florasamweli377
am_florah❤️🔐 :
🤣🤣kwel watakumaliza usipoangalia
2025-10-14 17:50:13
3
tagnal254
Victor K.LA :
wamepasua 😆
2025-10-13 18:31:02
1
simongeophrey449
Simon Geophrey :
akili kidgo wameshindw kulifunga kama mbuzi
2025-10-12 17:05:27
2
user62254267441855
robestersharon :
Mwenye alitafuta wimbo alijaribu
2025-11-07 15:04:26
1
sheee2298
✝️Blessed one ✝️ :
Amepita hapa Bamburi anaelekea Town😭🤣🤣🤣
2025-11-08 18:53:48
2
mohammedyjuma42
Mohammedy Juma :
umenikumbusha Arusha hiyo😂kuna jamaa aliniomba tulipandishe kwa 10000 kumbe kalewa chakari akipulizwa na upepo ananivuta mm alooh wee😂😂
2025-10-17 08:35:11
2
miss_chris45
@Miss_Chris :
Nawaurumia hao wa juu achana na huyu sijui watageukia wapi wakipokea😳😳
2025-10-12 18:26:39
2
mcdaddiste22
mc daddiste🇰🇪🇺🇸 :
umetoroka hivo na ni tank msee na bunduki si uta fly😅
2025-10-13 16:05:14
1
user4012679548915
gopa msangi45 :
hahaha huuu ni utani kazini sio ajali
2025-10-12 10:38:20
1
To see more videos from user @kelvin_plumbing_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About