@ogwa81: My experience with customers as a hair dresser are getting scarier

️She is Akinyi😊🥰
️She is Akinyi😊🥰
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 12 October 2025 13:16:47 GMT
31600
1066
75
30

Music

Download

Comments

muondoe.felix
Muondoe Felix :
but why leave a stranger alone in your house?
2025-10-13 04:55:15
22
shii..shii07
💛 :
mnajudge sana,hamuoni iyo ndo mchezo wa taon,aliacha nywele intentionally ndo aachwe kwa nyumba amtoke,kuna mwingi aliajiriwa kwetu job,tell me why tumekaa na dem siku tatu akituulizanga adi tunatumia simu gani but unaasume tu juu maybe ni ile tu anataka kujua ,kumbe ni mwizi anytime simu zetu,the third day alitutoka simu 3 saa tatu asubuhi,😂kuenda police the same happened, ID ni ya mkufi😂😂
2025-10-13 08:16:14
3
judykash70
judykash8 :
mwingine alikam kunishukia nywele Kwa hao.....acha nkwambie nliskia kususuu na choo ni za nje.....mm niache mtu Kwa hao nkasusuu..,hapanaa nlimshw ..
2025-10-13 11:09:42
2
ric_m6
Ric_M :
uko free lini nikubook tena?
2025-10-13 09:22:07
15
nanciejm
Nancie¶S💦 :
Ati hakuna lapi na hakuna uyu msichana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pole though
2025-10-13 09:03:43
7
cutevickie7
@cute Vickie :
guys mimi customer alikuja kwa salon ya my sis uyo customer akaniabia niende stage niendee sister yake akona mtoi na wanashukwa wote,,,,tell me why nilitoka kuendea mtu sijui kumbe madam n mwizi......
2025-10-13 08:25:33
0
miss_exquizite
PRETTYGRL🦋wanjiru🦋 :
unawacha aje stranger kwako
2025-10-12 17:48:54
8
msupab2
stress free :
we sema ume learn your lesson ..labda dem hakutaka kuiba but vile aliona opportunity aka grab ..
2025-10-13 06:16:59
0
vero21074
Vero :
usi wai Wacha stranger kwako peke yake
2025-10-13 05:38:33
1
yoursforever2010
Just Drama :
😂😂😂😂Wee introduction ni kali kuliko story "GUYS NILIBOOKIWA NA MWIIIZZIII"
2025-10-13 14:25:44
2
macmillan824
Macmillan :
mimi hata mtu wa kibarua nikimwacha kwangu nalock mlango na padlock
2025-10-13 06:10:28
1
mrtiktok_00
Noklin 👀 :
I still blame Ruto for this
2025-10-12 14:24:37
6
moryn82
moryn82 :
Hawa clients akanipeleka Ngong kuniibia simu atimes it's tough😔
2025-10-13 08:03:37
2
weddiesamwels
Ntinyari 😍🌹 :
Ghai... mbona unanishtua wallai..na vile nilitaka kuanza 🥺🥺🥺
2025-10-13 05:01:30
6
myknun
marie :
ata wewe ni joker🤣🤣🤣 unaacha stranger Kwa nyumba, sasa mbona hakupick kila kitu Kwa nyumba, hakufanya poa angeosha kila kitu
2025-10-13 11:24:30
2
sadian045
princesskwamby045 :
but through that number they can generate IMEI ya phone anatumia so incase she inserts any registered line they track it
2025-10-13 08:21:17
2
kamau_laura
Laura💝 :
unaacha aje mtu Kwa nyumba na humjui
2025-10-13 08:28:52
5
amish_ka.adl
Amish❤️🌺🌼 :
mbna uwache mtu ujui kuwa nyumba.ata ungefunga mlango uwache kama amekaa hapo njee
2025-10-14 16:20:56
1
mr.handsome.ke5
Raj willy :
😅😅😅😅😅 I don’t trust my own hands how can I trust even my mum or brother leave alone brother stranger 😂😂
2025-10-13 11:13:19
1
hakigathirwa
Haki Mwari wa Gathirwah :
unaacha aje mtu kwa nyumba🙄
2025-10-13 11:51:53
1
98.44.11.36
Prominent :
I do business but spendi customer kwangu,nkletee ama nktumie as pascel kama si hivo heri aache
2025-10-13 07:18:10
0
georginathiongo
georginathiongo :
unafanana na choku
2025-10-13 12:15:27
1
fariddah5
🦋Faridah🦋 :
sorry but mimi naye siwezi wacha mtu sijui kwa nyumba..
2025-10-12 22:51:03
1
akinyi.akinyi8
Akinyi Akinyi :
Pole but hiyo alichukua God will return triple lahana kwake na the generation
2025-10-16 17:57:02
0
janekagunda575
kagush janet :
ulimuacha kwa nyumba kama nani
2025-10-14 04:17:47
0
To see more videos from user @ogwa81, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About