@geoffreymosiriaofficiall: WEZI HAWANA HURUMA! Thanks to our officers for arresting this thief who had just stolen the Dedan Kimathi statue from Uhuru Park — one of the facilities we manage under the Environment Department. We shall continue enforcing the law against those who steal government property for their selfish gain at the expense of many Nairobians. To all scrap metal dealers involved in this illegal business be warned! We will take firm action against anyone found in possession of stolen government assets. We shall also be conducting regular inspections in scrap yards to educate and warn dealers about the consequences of handling property that belongs to the people of Kenya.
Geoffrey Mosiria
Region: KE
Sunday 12 October 2025 13:45:37 GMT
Music
Download
Comments
SIM kin :
huyu Ni mjaluo ata kama hajasema Jina yake🤗🤗🤗🤗🤗
2025-10-12 18:07:59
78
Abdizee :
Hii si uwizi hii ni kidnapping 😂😂😂
2025-10-12 18:36:59
122
#WhiteHighlands :
Goons wa Sakaja ndio hawa!
2025-10-12 17:34:40
202
wakanesa :
Sasa ilkuwa mumtoe nguo wajinga tu wanaume bila akili
2025-10-13 08:42:07
6
official spatah :
na Dedan kimathi akiulizwa anasema aje?
2025-10-12 20:34:55
67
George Mbua :
hata mwenye anauliza ninpesa gapi hajui ni ya gapi..akizaliwa ailiipata hapo tu
2025-10-14 12:58:09
3
CYPRIANKENYA :
vitu zingine hufai kufanya destroying our legends😭😭😭
2025-10-12 14:35:11
67
honest guy :
kwani huyo anakasirika pesa ya kutengeneza ni yake
2025-10-13 08:53:24
0
Akoth Lavender 254🇰🇪🇰🇪 :
kwa hivo sai Dedan kimathi hana kichwa 😥😥😂
2025-10-14 12:10:01
1
Winnie_Did_What❓❗ :
ati Mimi ni mwizi😂
2025-10-12 19:39:37
4
Nyakwar nyolwal :
hii zerikali imevanya watu wana hustle kwa nji dovaudi dovudi
2025-10-13 09:43:59
1
ankoleh💧 :
mbona mnakubali aonge na jaba kwa mdomo🧐
2025-10-16 18:00:07
4
Haji🔥🔥 :
Kwani hiyo mawe inakaa imeoza ndo mnavurugia huyu jama,, mungu yupo
2025-10-12 21:16:24
1
Abdul maina :
wekeni ajira kwa watu waache hizi tabia
2025-10-12 17:05:55
1
TN :
hio sura inakaa ngumu sana huyu ni jambazi hatari
2025-10-13 01:02:11
3
Zyra_Mali :
wajaluo wote warudi lk Victoria wakavue omena..
2025-10-13 21:30:02
5
mikari :
Mtoto wa mama 😥😭may God change life ya huyo jamaa 🙏
2025-10-12 21:26:59
7
kiarie mbatia :
😭😭😭😭😭 wooie mwagira kimathii na maumau gitiyo biu hatiri uhoro
2025-10-13 18:35:17
3
Pearl Swift 💕💥 :
respect muhimu utang'oa aje Dedan kimathi ? nani amekuroga jameni
2025-10-13 05:21:03
6
Gift John :
Which Country is this please? just Asking guy's🙏
2025-10-15 11:20:31
0
Animàl 4T3 :
Piga yeye,waliiba hata bunduki ya freedom fighter pale moi avenue in the name of maandamano 😂😂
2025-10-14 18:04:26
0
brie🖤 :
ati hii ata haingetoka pesa mingi😂😂
2025-10-15 11:48:30
0
skyboy :
huyu atafungwa
2025-10-14 07:03:45
0
Deno1 :
but ukisema scrap metal business ikuwe regulated ama ifungwe, hawa wenye wameshika huyu ndio watakutusi mwaka mzima
2025-10-12 16:03:25
6
Gideon Langat kitiat kipkorio :
alikua anapeleka wapi ss😂😂
2025-10-17 06:57:58
0
To see more videos from user @geoffreymosiriaofficiall, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.