Huyu sasa akiuza dawa ya kupungu nanunua maaana naona fewdbach🥰
2025-10-13 06:00:44
150
user3307574482679 :
Wimbo mzuri 🥰👏
2025-10-13 18:00:56
4
Mima Mkufya :
mwili w kijanja hongera unene n utahira
2025-10-14 10:46:56
0
Sada Mohamed :
Nikajua Vanessa jmn umekuwa kama yy kabisaa 🥰🥰
2025-10-12 15:03:04
84
12 :
nakupenda sana ila me kama shabiki wako nina haki ya kukuambia ukweli ujapendeza kuwa mwembamba ungebaki saizi ya kati Vanessa mwenzio ana uwembamba wa natural sasa sahivi umekuwa juu mpana chini mwembamba urembo wako amna 😏😏
2025-10-12 20:04:33
84
Viatu_ bei chee🥰 :
Mnapungua vizuri shida kichwa jamani yani kichwa kama jiwe walilolikataa waashi
2025-10-13 06:07:12
2
TeeMeela🦋❤️ :
Ivi kujikondesha unafanyaje😩😩
2025-10-13 09:25:54
0
Chunah💕🦒 :
Wal wa 5/5
2025-10-13 10:09:50
2
nafsai :
sura sauti km dada yake iyo ndo maana halisi dam haipotei🥰
2025-10-12 22:03:01
4
luxehomedesign :
Kitu nimegundua umri ukienda usijikondeshe jaman unakaa hivi
2025-10-13 06:49:47
13
the villa girl :
kwaiyo ulikuw unautaman mwil wa dadaako
2025-10-13 13:14:36
0
Tayana dony :
umependeza sana kipenzi yani baki na mwili huo huo
2025-10-13 13:21:49
0
Nachu#lv :
Mmmh huwa nakupenda sana ila huu mwilii hujakupendeza mpenz wangu🥺
2025-10-13 19:31:24
0
Offic@l M@sog@ng£💕🦋 :
Kiukwel hujapndez shg ang nilikuw nakupnd htr ila kwa. Sas kil m2 ashik 50 zake kifup hujanog umeboa mno
2025-10-13 07:02:43
2
Emmy Nado :
hivi huu wembamba tutauzoea kwel
2025-10-13 03:48:04
3
tresious🌹❤️💕 :
ila utapungua kote ila sio kichwa daaaaaah🥺
2025-10-13 04:57:33
10
PC 🇹🇿 :
jamani nataka kupunguza tumbo nisaidieni
2025-10-14 10:16:17
0
somo mom🦋 :
dada kimekukuta nn jaman mbona umebaki kichwa kikubwa kama gegedu 😆
2025-10-13 08:01:23
0
Angelynepf :
Nakupenda ❤
2025-10-12 16:27:00
1
gina :
nibora urudie tu,,ulemwili wako...umekua mbaya
2025-10-13 14:10:59
2
🏵J🪷a🥀Y🌻Carill💞💍❤️🇰🇪 :
huyu ni mimi Mars ama ni vannesa they seem they can dance same way ,at the same time they look like
2025-10-13 13:45:40
1
mee.neeh :
what happened to the mimi that sang,papara,Dede,shuga,ex...baana Ngoma zako this days aiih
2025-10-14 09:23:32
0
tayranbrand :
ivi kichwa uwa haikondiii eeeh🤣
2025-10-13 17:04:55
1
Mummie🥰 :
please fanya video ya wimbo wa sitamani
2025-10-12 21:21:57
3
Baby Face N 2025😘 :
🥰🥰🥰🥰 mpare wangu sisi wapare ni wazuri buana 🥰🥰🥰🥰
2025-10-14 05:34:43
1
To see more videos from user @chuggaqueen, please go to the Tikwm
homepage.