Nakataa hilo kama ninavyo ipekua yake nayeye anahaki aipekue yangu nisije kumletea ugonjwa siku moja , maadamu mimi ni wake nayeye ni wangu sioni shida hapo kushikiana simu.
2025-10-13 05:28:14
94
Amina Chibupa :
Nasisi wanawake je hatuna ndugu
2025-10-12 19:16:51
10
fahadi matoke🙃🙃 :
natamani ata nitoe sadaka kwa dahwa hiiii
2025-10-15 11:35:56
0
Emmy :
dada yake marhem nyundo huyu
2025-10-14 16:34:12
3
░S░E░I░N░ 🇹🇿 :
Afunguliwe account tiktok huyu... Awape somo hawa viumbe wazito 😂😂
2025-10-13 03:33:32
30
missfarhaty :
😂😂🤣Saw yako sishik na yang usithubut maan unawez kufa kabis 😏, kushika cm ya mtu kunakufany ujue unaish na mtu wa aina gan so ni wew kukubal kubak nae au kumuacha , kuna wanaume wanafany upuuz ata ukiambiwa mumeo kafany jambo fulan unakataa hila kuna migubegube ata kujistir haiwez cm tunashika 😂😂🤣utak usishike yang 🙌🙌🙌kila mtu afe na msalaba wake
Huyu mama apewe ulinzi wa hali ya juu... Ana madini ya thamani sana 💯
2025-10-12 20:25:57
37
B mazaga :
wanaume tume kubaliana sanam la uyu mama lijengwe wapi ..?
2025-10-13 17:34:29
7
sweety sweety :
Nani kasema hicho kitu cm yangu yangu tu tn akishika yangu atakuja kufa kwa presha maana watan wangu ndio shida ss
2025-10-13 04:09:07
8
Mrs Mine❤️ :
We mzee unatafuta tukutukane useme hatuna adabu
2025-10-13 06:12:59
14
Terebina03 :
Hawa ndo masomo wa zamani walofanya mama zetu wakae kwenye ndoa za mateso😂😂😂. mama hii ni 2025 muasheni huyu bibi atajikojolea anaota🤣🤣
2025-10-13 06:39:21
9
Khamis :
mama sanamu lake lijengewe wapi?mm naanza kukusanya mchango wa ujenzi wa sanamu lake😏😁
2025-10-14 10:27:21
5
🌍 MR WORLD WIDE 🌍 :
wallhy mama ajengewe sanamu hapo posta gharama zote juu yangu🤣🤣
2025-10-13 11:31:34
5
sabbysam7 :
Kila kitu changu chake kweli kasoro pesa zangu😂
2025-10-13 09:38:10
3
ladyhawaa :
Shukraan Aunty Shuu👌 huna baya kipenz
2025-10-13 04:06:36
20
anthony :
nileteeni huyo mama ofcn kwangu kuna gari mpya kwaajili yake 💰
2025-10-12 19:15:46
22
BARKE ❤️ :
Mm nimeolewa ila mm bdo malaya swez mpa cmu yngu maan atajiuwa km🤣🤣🤣😅
2025-10-14 17:17:15
0
creddo_shot it📸📷🎥 :
hyu mama kwenye vikao vyetu alichungulia dirishani 😂😂😂
2025-10-13 09:29:26
2
Sameera Mohamed :
Hata kama anawatani wake na simu yake hatushiki heshima katika ndoa ni muhimu mamangu. Unaposema kuwa simu zao zina mambo mengi mnakosesha wanawake thamani. Hio Mambo mengi utakapo kuwa kwako unaachia nje, hakuna mwenye haja na simu zao because we already know they interact with too many but respect and Iman ya dini ni muhimu.
2025-10-13 04:08:22
3
kajupesa :
watoto wa 2000 hawawez kuwlewa mama
2025-10-13 04:04:08
4
tauhidanabil :
Sie hatuna wahisani wala ndugu
2025-10-13 15:38:47
4
salmida kunchil :
ad siku maradhi yakupate ndo ujuwe na maradhi ni yake
2025-10-13 16:23:05
1
Fattyser :
ukoloni mambo leo!
2025-10-13 15:51:32
1
To see more videos from user @avopatips, please go to the Tikwm
homepage.