@laughs_on_leonardo: ILA WANAWAKE😂😂😂 @samsungtanzania Akianza na Story nyingi mpe Galaxy A26 na utaona kimya ….. ikidondoka sasa tembelea Samsung service centre iliyo karibu yako. Hakikisha unajisajili na huduma ya Samsung care+ ndani ya siku 30 baada ya kununua simu, ili upate 1 free screen replacement pale tu simu yako itakapopata hitilafu. #AwesomeIntelligence #TeamGalaxy Cc: @_lu.ivan 🎥: @panthertz1 @sixndale Edits: @jaykiporo

Leonard Butindi
Leonard Butindi
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 October 2025 12:50:06 GMT
183072
13666
227
312

Music

Download

Comments

its_dickson1
Dee_Kushy🍁😎 :
:Mke wangu mtarajiwa popote ulipo kwajinsi ntakavyokupenda Sitakuacha ubebe mimba Wakati dada wakazi yupo
2025-10-13 13:05:18
42
father_karl_comedian69
father karl comedian 69 :
kaka mbona nmekupigia upokei
2025-10-14 17:24:17
4
chingahboy3
chingah_boy⛎ :
20/20hapa
2025-10-13 12:58:42
2
mehannatz
Big c*🤨 :
wewe utakae soma ujumbe huu kama ni mzaliwa wa kwanza MUNGU akupe hataji la moyo wako🙏
2025-10-15 10:45:38
8
mr.moneywithvibes
simthegreat ❤️❤️❤️ :
batistuta has been released 😁😁😁😁
2025-10-14 10:38:21
1
abac_mush
Abasi :
ihii🤣
2025-10-14 07:00:09
0
sarahdegelesa461
Nai nai :
jmn laba bendi😂😂😅
2025-10-14 06:01:55
1
usewomanking
THE WOMAN KING 👑 :
mwanaume atakae gusa comment yangu lazima nimtongezee😊
2025-10-16 10:16:21
0
serena_kiwango
serena_kiwango :
Mie baby wangu kila siku ananiambia nijifunze kukaa kimya hapendi mwanamke muongeaji ety nina ongea sana 😭
2025-10-13 14:12:05
9
user3838304361868
felix tarimo :
sawa changamka kelele zote za nini
2025-10-14 04:21:39
3
makunzo_jr
@makunzo jr :
ila mi nna 7
2025-10-19 14:43:51
1
a.m.r.a.s.c.o
☠️a.m.r.a.s.c.o☠️ :
kaka unajua sanaa ....bless up 🔥🔥
2025-10-13 12:55:13
2
jimmyesron
wakasi media :
redio free africa
2025-10-14 13:33:08
0
karimu67839
Kumbwani KRM :
tunapig
2025-10-14 17:31:09
1
polandi56
Polandi :
gas alisumbuwa kwenye ule mzigo
2025-10-23 20:02:03
1
hassankikamba
hassankikamba :
oy mwanetu huyo mke au redio kama vile wa kwangu lakini 🤦‍♂️🤣🤣🤣
2025-10-13 13:01:58
1
youzesaidy
nøE official.. :
wale wa 10/10 mje 🥰🥰
2025-10-13 13:03:45
0
1whyme06
WHY ME🤔 :
nanunua vyuma chakavu😂
2025-10-14 20:50:17
2
misana.max.mjuaji
mjuaji 100 :
nipo pamoja na wew
2025-10-13 20:34:27
1
fausteremmanuel
Fauster Emmanuel :
mm nikikaakimya anashtuka mbn Leo kmya sana anaanzakukichokoza kingo'la😂😂😂😂😂😂
2025-10-23 17:36:12
0
pfoncy
Rich kid 💰 :
Nimependa usomaji wako wa comment kimya kimya naomba tuungane 😂😂💔🙌
2025-10-13 16:31:34
8
father_karl_comedian69
father karl comedian 69 :
kaka mbona nmekupigia upokei kaka
2025-10-14 17:23:44
1
kiwa_quotes01
Kiwa :
upewe blue tik Leon 😁😁
2025-10-13 12:57:09
0
uchebee1
Don. 🔥 uchebe 🎅 :
Nani Kaelewa Neno ila me NNA 7 😂
2025-10-15 10:52:28
4
To see more videos from user @laughs_on_leonardo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About