@amani_dimile:

Amani_dimile
Amani_dimile
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 October 2025 16:21:51 GMT
75907
4412
198
442

Music

Download

Comments

iam_hiby
Habiba🦋 :
Jaman kila mtu ndo mara yake ya kwanza kuishi duniani tupunguze maelekezo😁
2025-10-14 07:22:56
121
hamyhim7
Hamyhim :
wewe umefikia wapi tuambie kwanza
2025-10-17 06:54:10
2
bokabhaiya716
BOKA BHAIYA :
huko jau utang' atwa na nyoka
2025-10-27 12:16:18
0
830.kj.tz
👊 38. kj.🇹🇿 :
Fact kabisa bro
2025-10-18 09:13:21
0
noely.alijua
@Noel Mwakalinga :
chuo tunaenda na counter book au notes book ni swari tu nauliza
2025-10-15 16:49:16
3
user1955395612667
Rema Tz :
sasa kwel kaka kila mtu akifanya biashara nan atakuw mteja🤣
2025-10-14 18:48:50
9
allenrugala11
Rex Fire 🔥 :
Maelekezo mengii kisengeee mamaeee 😁😁😁
2025-10-15 17:47:09
7
fobbylyzer
fobbyleey_lyzer :
eeh first year tumeandamwa sana jamn eeh.....
2025-10-17 20:47:30
5
hancylay0695003990
@Hancy~Lay .TZ💖💞 :
FACT BROTHER
2025-10-14 09:55:23
10
doren.4
Dory :
mimi ningesikia mapema hili nisingelala na yule mbwa
2025-10-13 20:19:30
11
abbah_mr.a
abbahmra :
acha ujuaj broh
2025-10-27 11:34:09
0
akhiyaan1529
akhiyaan duos🥰🥰🥰 :
eeeeh inatosha Asante 😂😂😂mwak huu first year tunaloooo
2025-10-28 13:52:54
0
keviitexa
kelvin Rogath :
aiyaaaa baada ya hapo umepata nn
2025-10-14 20:45:33
0
nana90075
➰️난쥐🖤📨🩸 :
fedha hazipotei ww nd unazipoteza...😎😎 ila asante kwa ushauri...
2025-10-22 05:58:58
0
neyma4415
neyma :
sawa Asante Kwa ushauli lakn mtupumzishe
2025-10-14 16:35:26
6
wisubu.de.camp
wisubu de camp :
ushauri ni muhimu ila sio lazima kuuchukua
2025-10-23 08:24:15
1
barikimwangoka
Barick005 :
hivi serikali inatambua kwamba washauri mmekuwa wengi kuhusu vyuo,,, wew je unashughuli Gani kwani
2025-10-14 06:18:35
13
jumm_yy
Goblin-mnyama :
we nimara yako yapili kuishi duniani nni😅😅
2025-10-15 21:12:13
1
user7177813613502
sharkhan Jr :
OK
2025-10-15 03:42:54
0
mariamleonard872
mamu :
maelekezo yanazidiii kichwaaa jamon i
2025-10-24 04:51:30
1
samwelmjema387
spelzewolfmjex0003 :
FACT..!!!!
2025-10-17 21:28:58
0
stans_electrical
STANS@ REAL :
kwahiyo unamaanisha vyuoni kuna ukimwi??
2025-10-14 00:28:01
2
xwabies_
Xwabies the Great :
😅😅😅😅 Umeshawaharibiaaa sasa kuna mmoj wao hukuuu kaambiwa ataenda na kurudi hom kam kawaid
2025-10-13 17:05:57
26
abdallampambika
super fighter :
aisee yote yashikeni ila kuhusu biashara wadogo zangu iyo ishikeni zaidi ingia chuo tafta biashara utakayoiweza kama utakuw mwnyewe au na rafikiyako
2025-10-15 06:01:23
0
king69973
king :
UHULU NDIO NINI
2025-10-14 09:34:31
1
To see more videos from user @amani_dimile, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About