@jassy.mideko:

Jassy mideko
Jassy mideko
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 October 2025 19:35:17 GMT
156236
6879
450
356

Music

Download

Comments

bobnyankaniofficial
Bob nyankani :
ukipata muda wa kummuuza mwanamke muue kabsa, alichonifanya Winnie kudadeki acha kabsa Hawa watu wateswe na mapenzi
2025-10-15 11:47:45
7
user7098343593091
Samweri :
iyo ipo Dada Pole
2025-10-14 02:46:15
11
abdulkhan.seleman
Abdulkhan :
poleee dada me nipo kwajili yako
2025-10-14 14:26:04
0
ezekiah_07
EZEKIAH :
kikubwa auna komwe utaolewa tu😂😂😂
2025-10-15 17:32:13
15
user62180417145910
yato vianney :
Kuna kadada nilikatongoza kakanikatalia nilikua nataka nikaoe kakase Nina mpenzi ananipenda sana siwezi kumuacha mpenzi wake alikuja kuoa another sister mpaka Leo huyo dada Bado hajapata mwingine ananisumbua kwa cimu sijui nani kampa my number
2025-10-15 04:12:01
5
abunelijonas
abunelijonas :
daaah kwehy kam ukupend akwambie ila nimependa San msuko wak nice 👍
2025-10-15 08:07:57
4
mr.g.official6
Mr G official :
usilie 🥰
2025-10-14 08:37:40
5
mpembamayunga
mpembamayunga :
safi kabsa Nikimuona mdada analia huwa nafurahi kwanza huwa najitoa Out ili nikafurahie Hawa bweha wanakela bac tu kma hawakufnyia ufala huwezi nielew
2025-10-15 08:29:02
0
user3173077119106
Fatma othman :
nmependa msuko
2025-10-17 07:32:37
0
user618125266259
0757616317 by mobile number :
pole saàaaana madame kwa sasa focus kweny mambo yako mungu atakubariki insha'Allah
2025-10-15 10:56:10
0
user97584276241282
BABA GODPRECIOUS :
so sad, so painful. kusudi la MUNGU ni bora kuliko machozi yako. jikaze , ili dhahabu ing'ale lazima ipite kwenye moto
2025-10-15 08:32:10
0
user3394612991281
user3394612991281 :
pole sana dada Mungu atasikia kilio chako usijali
2025-10-15 08:17:43
0
official.d911
🥰💕Deborah damson🔥 :
pole my dear utazowea tuu mwenyew ishanikuta hyo
2025-10-15 08:21:44
0
emmanueljudualmax
emmanueljudualmax :
ndo ushakua kidampaa tayar😳
2025-10-15 06:01:25
0
user954352108292
mwanaidy :
pole hawo ndio wanaume ety ambao wanajali hisia zao tu sio kujali mwezie
2025-10-15 08:00:45
0
user2383019054667
Daudi :
uwa wanazingua sana anakupa mashart kumbe hajui kuwa umechoka mashart yake
2025-10-15 09:35:05
0
kazimily80003232481967
kazimil samweri :
pore
2025-10-15 06:02:23
0
abubakarsalimu141
abuu msema kweli :
hakunaga uchumba wa miaka miwili pumbavu
2025-10-15 06:03:15
0
aplusbusinesscollaborat1
A plus Business Collaborates :
pole mwaya 💔
2025-10-15 09:51:58
0
user7708130546166
1357 :
nakama utasema unasubiri mtu fulani utakufa hujaolewa
2025-10-15 08:19:42
1
agatha.msilu
Agatha Msilu :
Anataka kutuonesha nywel tyu
2025-10-15 10:43:42
2
user374936349656
NASHY TZ :
HICHO NI KICHWA AU TIKITI😂😂😂
2025-10-14 19:43:25
1
user5671140046361
Chris boy :
pole jaman jikaze yatapita TU so pambania maisha yako mungu atakupa akupendaye zaid ya huyo
2025-10-14 17:17:05
4
user6982742113439
shimba ndahya :
njoo kwangu nikuowe dada angu pole
2025-10-15 18:12:48
1
rabielkinabo598
Rabiel Kinabo :
una alama ya M mkono kwako bado una bahati Mungu akusaidie endelea ki umilia bado una bahati
2025-10-16 23:31:43
0
To see more videos from user @jassy.mideko, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About