Mngesoma physics hata msingehangaika ilikuwa ni issue ndogo tu wote mnaingia ndani ya gari ili kubalance uzito afu mnaiwasha ikiondoka mniite mbwa
2025-10-14 22:24:37
3
Stan wa smartcomputers :
vile nimeona number plate ni ya Tz nimejua tu
2025-10-14 16:11:32
15
mikel :
hapa tunalaumu dereva because this as a off-road vehicle ilifaa kivuka hayo maji comfortably tu
2025-10-14 16:42:47
6
ABDHALLAH CJ YOUNG BOY :
vuta gari na nyuma wajinga nyinyi
2025-10-14 10:58:55
65
libu :
wamekutana manyumbu badala mvule gari na nyuma Tena taratibu mnavuta na mbele mbio mbio
2025-10-14 10:48:26
22
izacksafariguide :
Hii nchi gan?? 🙈
2025-10-14 18:22:09
2
Ouko junior :
if you pause the video..the vehicle is safe
2025-10-14 18:24:59
8
CRISS DESTINY :
mnacheza na 8M za msee?
2025-10-14 11:23:35
34
porridge enjoyer :
ai
2025-10-14 10:45:49
1
nduatimburu :
hizi zote ni ng'ombe, kwenye gari ilifaa kuvuta ndo wanavuta na mkono,
2025-10-14 12:20:24
3
user37575576792791 :
hapa ata Sii kuvuta nyuma hii cruiser ivute upande ya kulia
2025-10-14 13:31:08
2
Lucky Safari Guide 🇹🇿 :
aliyepost hii hana tofaut na nyumbu wa namba 4😁,hiv vitu sio vya kupost maana zinaaribu image yetu km nchi na watu kibao wanaona kwahyo ukifka na mgen apo anakuonesha
2025-10-14 11:46:47
7
Peter Makau :
hio gari inakata kuvutwa na nyuma wajinga nyinyi
2025-10-14 12:26:18
1
°PRINCE J❤️🇲🇾° :
😂😂😂😂😂mko na akili nyinyi kweli ama mumekopa
2025-10-14 11:31:37
2
Lùkäéjúmàh :
being a man isn't easy 😂😂
2025-10-14 10:53:57
66
big machine :
uyo dereva anayevuta ndio shida no way
2025-10-14 11:12:13
11
ⱼₑᵣᵣᵢₑ 𝓪𝓷𝓭 ₜₐᵣᵣᵢₑ :
haa varume vambozamawo pavanogona avo
2025-10-14 11:47:15
8
john kidadu :
2025-10-14 13:10:15
10
peter _andongwisye :
badala gari ndio hivute ubavuni eti wao ndoo wavute akili butu hizo
2025-10-15 00:59:08
0
Princesscarley💕 :
Ndio guiding skills zenu ndio zimeishia hapo ila daah🙌🏾🙌🏾🙌🏾
2025-10-14 22:50:07
0
wuod ayuni :
Hawa watu nimatako 🤣🤣sana
2025-10-14 12:17:24
3
D.o.n🤑 :
hii ilikua Itoke tu yenyewe
2025-10-14 10:42:22
24
To see more videos from user @zado_leigh, please go to the Tikwm
homepage.