@tasherskin:

Tasherskin
Tasherskin
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 October 2025 09:22:33 GMT
105438
4994
569
324

Music

Download

Comments

mamuu9377
Mamuu :
Alikua hampendi
2025-10-14 20:28:40
1
user3067801150142
user3067801150142 :
me nipo kwenye mausiano ndani ya miaka 6 sijazaa na sifikilii kuzaa🤣🤣
2025-10-14 19:24:28
1
razaki562
Razaki :
kwer dada lazima mkubaliane ote wawili
2025-10-14 21:11:02
1
official.girl59
Official girl :
Mmmmmmh jamani mm Nina mwanaume tuna mwezi Tuh lakini jamaa analilia nimzalie na mm huku Nina mtot wa mwaka jamani
2025-10-14 22:35:27
2
user51007471008128
MISS MINAL :
jmn umefanan na dada yngu
2025-10-14 22:07:54
2
esta3076
Esta :
Yaan dada kiukweli hii story nimeisikiliza zaidi ya mala tatu ila sielewi maana mda wote nakwangalia tu ..Beautiful girl ❤
2025-10-14 16:37:52
1
ellahonette
ella honette :
maisha ni yamungu mtot atakomaa
2025-10-14 17:33:34
1
user1908148407815
mwingira sarafina :
Huwa hawajui wanacho kitakua wanaume anaweza sema usizae na akazaa seemu nyingine
2025-10-14 21:10:34
1
mamtk0
Mam :
Tatizo letu tunapenda kuteseka ili tuwalaumu wanaume…
2025-10-14 11:14:25
109
beqques
bee :
WANAUME WAMENYOOKA SANA ..ILA WANAWAKE SISI NDIO VICHWA VYA KUKU
2025-10-14 12:15:06
65
merysianahthomas
@therealjennie♒️ :
tena me napenda sana mwanaume akinambia nisizae😂😂
2025-10-14 14:50:31
45
leylaah59
leylaah59 :
pole kwa mdada 💔lakin kwann uyo bwana amkojolee ndan km hatak mtoto lakin 😏
2025-10-14 13:21:08
35
loveaccessories14
loveaccessories14 :
Mimi nami kuzaa na mtu ambae ajanioa labda ….anichanganyie kwenye maji
2025-10-14 13:55:52
21
user37837262839165
user37837262839165 :
hakuna malengo hapo alikuwa hajampenda tu
2025-10-14 14:17:59
19
neemandisi
Neema Ndisi :
Kuna mimba zingine haziepukiki ndo maana hata wasiokuwa na uzazi wanalala na wanaume zao siku za hatar na Bado hawashiki mimba,
2025-10-14 14:08:22
13
fettyjaffary1
Fettyjaffary1👣 :
Tujifunze jamani mtu anakwambia kabisaa🙌lakini bado 😩
2025-10-14 13:11:56
11
momotee2
Momot_spareparts :
Tena wengine wanabeba mimba makusudi ili waolewe jmn jmn mtalia vibaya mnoo mtu una mwezi mmoja kwenye mahusiano ushabeba mimba wadada tujifunze jmn.
2025-10-14 14:24:36
11
user2355077337226
pry :
guys kuna mm sasa boyfriend wangu tuna miez 6 sasa ivi ila anaomba nibebe mimba ety anaitaj mtoto nifanyej na cjh kwao wala yy hajh kwetu🤔 nawaza san
2025-10-14 13:54:51
8
mssaly3
Ms:saly :
ongea haraka harak my nakaa mbali😂😂
2025-10-14 09:59:59
7
jestina.tuzo1
Jestina Tuzo :
Na kama ulizaaa nae alafu a nakwambia usubiri mpaka mtoto afike miaka 6 hiyo nayo inakaaje
2025-10-14 15:50:00
6
success.eliya
Success Eliya :
Basi amshukuru Mungu angepata ukimwi angesemaje huyo mtoto atakuwa baraka kwake amtunze tu Mungu atamsaidia
2025-10-14 13:47:36
6
zuhraty7
zuhraty💝 :
Nisizaeeeeeeeeeee😢 mm jamani
2025-10-14 16:49:53
4
memo.bosslady
Memosovellah :
Mleteni mbele huyo dada na mtoto wake nipeni shoka alafu wote mrudi nyuma 😂😂😂😂😹
2025-10-14 12:06:12
4
To see more videos from user @tasherskin, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About