@abdulhafidh575:

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 October 2025 11:27:23 GMT
176225
6679
245
1947

Music

Download

Comments

ramadhaniissa9822
Youngsoul355🇻🇳 :
shekh ukiwa unatoa elimu acha maelezo mengi bundle n kidogo 🇹🇿
2025-10-14 17:21:42
87
thevibes_boutique
THE VIBES BOUTIQUE :
Shehe ongea haraka nataka nikanye mie
2025-10-15 09:04:06
10
user5483710288137
bby chocl@te💞 :
subhanallah wengne tunkaa asaa tukifua
2025-10-14 11:49:19
34
user4183162965684
trojan :
sasa hao mashetani wanavaa waswahili tu? sijaona wazungu wanapandisha mashetani
2025-10-15 10:21:36
7
wilfred.kihaka
Wilfred Kihaka :
mbona sasa ni kazi kwa sasa nitakwenda kujisaidia vichakani
2025-10-14 12:24:58
6
sanurarashid969
ummy haiy :
shekhe mie nataka namba yako nikulize ndoto nyingi mpy naota
2025-10-14 16:24:38
7
melted_pearl
☆melted_pearl☆ :
chooni ni bathroom ama toilet???
2025-10-14 16:48:14
5
addressed38
addressed :
sasa hao majini si muwambie wajenge vyoo vyao wajinga nini
2025-10-15 06:51:49
6
user1698655474338
Rumaysa :
mashallah allah akupe umri na swiha njema uzid kutuelimisha
2025-10-14 20:09:39
17
rukia.sura
Ruqaya 😘 :
na waarabu wanavyopenda kuvuta sigara chooni jaman ndio mana wengine twaona nuksi tu
2025-10-14 11:46:37
13
nufayla.kheri
Latifa thabiti :
ao majini wamalaya tunawana lolote awaoni pakukaa paka wakake chooni kwani ao alip watengeneza akuwapa ifadhi 🤣🤣🤣
2025-10-14 17:02:30
6
user2344527956346
bataboy :
veep kuhus wale wanaojenga nyumba yenye choo ndan ni vibaya
2025-10-14 19:54:05
5
user20575977118
user20575977118 :
asantee sana shehe mungu akuripe kwaili
2025-10-14 12:38:22
7
mrsibrahim530
Mrs ibrahimu🦋💕 :
Mmmh Yaani kama mimi nikienda chooni najichezesha kwenye kioo yaani duuh kumbe majini wanafrahi kuona makalio yetu nafuliya chooni zaidi ya masaa yaani leo ndo nimejifunza shekhe wangu asante sana
2025-10-14 11:42:34
13
yumgal_elhubby
yumgal_elhubby :
mashaa Allah tabaarakallah sheikh wanguu Allah akubaarik naomba usome msg yangu dm. tupate faidaa na mawaidha yako biidhnillah
2025-10-14 11:48:27
12
lila.al8
Lila Al :
shukuran shekhe wetu Allah akubarki ♥
2025-10-15 17:08:07
5
addressed38
addressed :
tatizo lako unazunguk sana jaribu kufupisha watu hawapendi maelezo mengi
2025-10-15 06:49:02
5
fatma.mohammed5077
Fatma Mohammed :
shukrani 🙏🙏🙏
2025-10-14 14:19:08
6
nizigiyimana3
Nizigiyimana 5 :
Shukran
2025-10-14 17:10:15
5
jamillah879
jamillah :
warabu choon Tena wanaingia na simu wanakaa huko masaa mawili nakuvuta
2025-10-14 16:43:41
5
asoya72
ALKEBULAN QUEEN(asyah) :
shukran na kuteme mate kwenye shimo la choo
2025-10-14 12:19:00
5
w.alsharji0
w.alsharjih :
Sahihi
2025-10-14 11:47:36
5
user5483710288137
bby chocl@te💞 :
subhanallah 😭
2025-10-14 11:43:41
5
aliasamngazija85gm
gazi man 85 :
Asante nime ipata
2025-10-14 11:40:01
5
hawahashim6
Hawa Hashim :
OCTOBER-29 TUKATIKI✅
2025-10-14 12:52:32
10
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About