@esmer.luxe.essence: Perfect 💎 haya ndiyo matatu makuu ambayo kila mpenzi wa perfume lazima ayajue 👇 1️⃣ Sillage – Ule mnyonyoro wa harufu unaobaki hewani , kwenye mazingira baada ya wewe kupita au kuwepo sehem fulani . Ni alama ya perfume yenye heshima. 2️⃣ Projection – Nguvu ya harufu inavyosambaa kutoka mwilini. Perfume zenye projection nzuri, hata ukiwa kimya — harufu yako inazungumza. 3️⃣ Longevity – Muda ambao perfume inabaki ikinukia kwenye ngozi au nguo. Harufu ya kweli haikimbii haraka — inadumu, inatulia, inakumbukwa. kwa elimu zaid tuambie hapo chini tueleze nini next Follow us @esmerluxeessence 0623786458 TUNAPATIKANA TEGETA NÀMANGA OPPOSITE N HOSPITAL YA RABINESIA🫶 KARIBUNI SAAN❤️#trendingtanzania #perfume #viral #fyppppppppppppppppppppppp #biasharatiktok