@princejohnke047: The ever dramatic Governor Waiguru clearly dialed the wrong number because RIGGY G has stormed back into Ngurubani, Mwea, Kirinyaga with unstoppable force to deal with trait0rs🔥💪 #RiggyG #kirinyaga #mwea #dcpparty #Governorwaiguru
🤴 PRINCE JOHN🤴🇺🇸🇰🇪
Region: KE
Tuesday 14 October 2025 13:58:25 GMT
Music
Download
Comments
Maxwellkimani :
kama unajua riggy G ndo dawa ya Ruto piga like
2025-10-14 15:27:12
446
@james :
the fact remain that waiguru Hana uwezo wa kubishana na Riggy G 😂😂
2025-10-14 16:18:09
203
Baba Tsomii🇰🇪 :
we better listen to gachangua or we end up another 5yrs of hell..
2025-10-14 16:21:16
173
boni :
Huyu ni mwanaume
2025-10-14 14:02:35
167
david wanjala :
she dared the wrong guy
2025-10-14 14:03:02
155
Zack Kimani :
waiguru dialed the wrong number huyu si wakutishwa
2025-10-14 14:26:07
101
Able-abel⚓ :
Riggy G ni ule X mkikosana unahama hio area 🤣🤣🤣
2025-10-14 16:15:42
58
Mash🤞 :
Kiana gia Simba do huyo sasa
2025-10-14 16:06:17
46
chegedaniel8 :
Waiguru huwezi huyu.
2025-10-14 15:05:44
32
EV PETER 1 :
Riggy our kingpin ,finya yeye ni mwizi sana
2025-10-14 14:22:36
32
Joy Edwards 17 :
Riggy G ni yule msee 💪🏻💪🏻 kaende kaende
2025-10-14 15:20:10
28
kenyan388 :
Hawa Wasaliti wa Murima wakome kutishia RiggyG.Kwasababu Sisi watu wa mrima ndiye tulipatia Gachagua kibarua ya kufukuza Wasaliti
2025-10-14 14:54:35
22
cGm :
riggy G asked good questions....waiguru ajibu sasa
2025-10-14 16:17:48
22
Truth Meter. :
Huyu hubamba mafala wa mlima pekee yake, mdomo ya takataka.
2025-10-14 16:53:30
21
kihara Gilbert :
truthful man🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2025-10-14 14:17:18
21
kenito :
wamunyoro 💪💪💪
2025-10-14 14:18:37
17
Jeremiah Maina :
ukweli ,,,, One term always ,,,, waiguru ni msaliti uliongea ukweli endelea ivo
2025-10-14 14:03:28
17
Parto M :
kasongo amekuwa nyoka tena😂😂😂
2025-10-14 17:06:05
14
Kevin simiyu :
ndo naamini gachagua ni mwalimu WA campaign 😂
2025-10-14 16:45:26
14
wamugeni :
kanyanga kabisa
2025-10-14 14:51:27
14
Jeremiah Maina :
hahahaha rigigiii siku zote😅😅😅😅
2025-10-14 14:06:33
13
ISLAM TV :
Gachagua is our mt kingpin Mt Kenya region
2025-10-14 19:30:26
12
michaelkinyua90 :
waiguru ameguza wrong number
2025-10-14 17:06:42
12
paulkanairo :
nyoka inauliwa Na Mayai yake
2025-10-14 17:29:39
12
pkor6 :
Riggy G bado anabishana na Magavana na anataka kua Rais,si abishane na Ruto.
2025-10-14 17:08:54
11
To see more videos from user @princejohnke047, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.