@browinshopking: Olike SF13 Speaker bluetooth 10w subwoofer stereo#speakerbluetooth #speakerportable #speakerolike #olikesf13

Browin
Browin
Open In TikTok:
Region: ID
Tuesday 14 October 2025 20:02:57 GMT
1822
79
4
23

Music

Download

Comments

rajasemut41
semuthitam :
keren
2025-10-15 05:09:19
1
ssperkakas
𝙎𝙀𝙍𝘽𝘼𝙋𝙀𝙍𝙆𝘼𝙆𝘼𝙎 🔰 :
horek keren
2025-10-15 02:08:34
1
rphonesh0p
R PHONE SHOP :
horek bang
2025-10-15 00:49:03
1
To see more videos from user @browinshopking, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

TOBA YA MSICHANA MZINIFU Kisa cha Kustaajabisha Chenye Mafunzo ya Kina Hadithi ya Msichana Riham: Riham alikuwa msichana aliyekuwa akiishi maisha ya zinaa, akikutana na wanaume kwa ajili ya starehe na pesa. Siku moja, alikutana na mwanaume mmoja aliyemuona tofauti kabisa na wengine. Alikuwa na uso wenye nuru, ndevu nzuri, na sura ya mtu wa heshima. Walipofika kwenye makubaliano ya kupeana raha kama kawaida, alimwuliza mwanaume huyo:
TOBA YA MSICHANA MZINIFU Kisa cha Kustaajabisha Chenye Mafunzo ya Kina Hadithi ya Msichana Riham: Riham alikuwa msichana aliyekuwa akiishi maisha ya zinaa, akikutana na wanaume kwa ajili ya starehe na pesa. Siku moja, alikutana na mwanaume mmoja aliyemuona tofauti kabisa na wengine. Alikuwa na uso wenye nuru, ndevu nzuri, na sura ya mtu wa heshima. Walipofika kwenye makubaliano ya kupeana raha kama kawaida, alimwuliza mwanaume huyo: "Je, umeoa?" Mwanaume akamjibu: "Ndio, na nampenda sana mke wangu." Akasema: "Unampenda lakini unakuja kumsaliti na mimi?" Mwanaume akamjibu kwa utulivu: "Nimelipa pesa, si unataka tu pesa?" Hatimaye walielekea nyumbani kwake. Kwenye gari, alifungua Sauti ya Qur'an Surah An-Nur kwa sauti ya Shaykh Maher Al-Muaiqly. Riham alishtuka. “Tunasikiliza Qur’an ilhali tunakwenda kufanya maasi!?” Aliendelea kumsikiliza Qari akisoma: "Na mwanamume mzinifu na mwanamke mzinifu, wapigwe kila mmoja wao viboko mia..." Wakati wanawasili, aliona nyumba yake inafanana na msikiti harufu nzuri, kuta zimepambwa kwa aya za Qur'an, na ndani kuna mwanga wa kipekee usiohitaji taa. Riham akamuuliza yule mwanaume: "Hii nyumba inaangaza kama mchana! Umewasha nini?" Mwanaume akamjibu: "Hii Ni nuru ya moyo wako utakapoamua kujiepusha na giza la maasi." Wakati bado anahangaika, alimletea glasi ya maziwa badala ya pombe. Alipojaribu kuuliza maswali zaidi, mwanaume akamwambia: "Nenda uwasalimie wageni wako wawili." Riham alipogeuka aliona wanawake wawili ambao wote walifanana naye kabisa: 1.Mmoja alikuwa mgonjwa, amedhoofika, anavuja damu kichwani, na anasema: "Ewe Mola, naomba kifo, siwezi kuvumilia tena." 2.Wa pili alikuwa na hijabu, uso wake unaangaza nuru, na alikuwa anatabasamu. Mwanaume akaambiwa: "Hawa wote ni wewe. Yule mgonjwa ni wewe baada ya mwaka, utapata ugonjwa usiotibika kutokana na zinaa. Yule mwenye nuru ni wewe baada ya saa moja ikiwa utatubu." Akatetemeka na kusema: "Naweza kuchagua hatima yangu!?" Mwanaume akasoma: “Isipokuwa wale waliotubu, wakaamini, wakatenda mema Allah atabadilisha maovu yao kuwa mema. Naye ni Mwingi wa maghufira, Mwenye kurehemu.” (Surat Al-Furqan: 70) Akaulizwa tena: "Chagua njia yako je, unataka kuwa miongoni mwa wacha-Mungu au waasi?" Riham akasema: "Nataka kuwa miongoni mwa waliotakasika na kuwa na mwisho mwema." Mwanaume Akamjibu: "Basi simama, mtake Allah msamaha, mlilie kwa hofu na tamaa. Toba ya kweli huondoa maangamizi." Kisha Riham akamuuliza: "Wewe ni nani?" Mwanaume akamjibu: "Mimi ni jibu la dua ya mwanamke uliyemsaidia zamani. Alimwomba Allah akuongoze. Na Mola akanipeleka kwako kukuelekeza." 🌹Riham aliamka kutoka usingizini. Ilikuwa ndoto ya kweli. Alikuwa anatokwa na jasho, moyo wake ukitetemeka. Akachukua udhu, akaanza kuswali, kuomba msamaha. Alichukua uamuzi mkubwa: hatarudii tena kwenye maasi. Uso wake ukaangaza nuru — uso wa toba. Kwani ndoto yake ilikuwa ya kweli 📖 Mafunzo ya Hadithi: 1.Toba ya kweli huondoa maasi yote. Riham alitubu kwa moyo wake wote na Allah akampokea. 2.Dua ya mja mwingine inaweza kukuokoa. Mwanamke mmoja alimuombea Riham bila kujua, na dua hiyo ikakubaliwa. 3.Maisha ya zinaa huishia kwa fedheha au maangamizi. Lakini mlango wa toba haujafungwa. 4.Maono ya kweli au ndoto nzuri huweza kuwa ujumbe kutoka kwa Allah. 5.Usidharau maombi yako kwa mtu mwingine. Dua huweza kuleta mwanga kwenye maisha yao. 6.Moyo wenye toba huangaza zaidi ya taa. 📌Hitimisho: “Sema: Enyi waja wangu waliofanya dhambi kupita kiasi dhidi ya nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya Allah. Hakika Allah husamehe dhambi zote.” (Surat Az-Zumar: 53) Toba ni mlango wa huruma ya Allah — usikawie kutubu. Leo bado upo hai. Ukisoma hadithi hii, omba msamaha na Allah atusamehe sote dhambi zetu kwani sote ni wakosaji.

About