@trtafrikasw: Safari ya Raila Odinga katika siasa ilianza miongo kadhaa iliyopita. Katika miaka ya sabini alifanya kazi na Shirika la Viwango Kenya na kuwa Naibu Mkurugenzi. Mwaka 1982 alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini baada ya kuhusishwa na jaribio la mapinduzi lililoongozwa na wanajeshi ambao walinasibishwa naye. #railaodinga #kenya #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok