Waliolelewa na wazazi wao vizuri wanahisi jamaa ana kibuli lakn mi namuelewa sana.
2025-10-15 23:16:58
439
jaymelod :
kumbe tupo wengi sana mm pia kama wewe kaka dingi yangu ni fala tu
2025-10-16 05:52:20
133
latifa :
huwezi elewa kama hayaja kukuta
2025-10-25 16:32:37
0
ney🌹🦋 :
namuelewa sana uyu kaka 🥺🥺🥺
2025-10-16 03:45:46
122
shaphy :
uyu jama anaongea ukweli
2025-10-15 17:08:48
105
Official CardB ❤️ :
me babaang nisipomtafuta siku moja ananitumia sms mwanangu Kuna maisha baada yakuchoka kuishi dar 🤣
2025-10-16 13:22:54
1
💫ابنتي عائشة✨ :
Bora nyie mnajua hamkuzaliwa kwa mipango mimi nimeambiwa kabisa ni nuksi kwenye familia 😥😥😥😥
2025-10-16 09:31:10
4
mtemi mirambo :
umeongea adi nmelia sanaaa mm ss ipo tofauti mm na mama yangu hajawahi nionesha babangu nikimuuliza anasema hajui lakini sasa mama ananichukia sana bila sababu yani nimeishi kwake alipo olewa amenifanyia vitu vngi sanaaa vya ovyo ila mm xkukaa na kinyongo nilivyo kuwa japo kwa kuhangaika sana mm nmetoloka home nikaja mjini nmelala nje lakini kwa sasa nmefanikiwa japo xyo sanaaa ila na nyumba yngu lakini mama anaonesha chuki mpaka leo akifka kwangu mm mpaka watoto wangu wanamkimbia yani pia najitaidi kumsaidia ila uxkia maneno anavyo niongelea na baki nalia2
2025-10-16 03:42:07
40
beby jewel :
mm hata sitamani kumwona tuy baba
2025-10-15 19:21:47
17
mshiri jr :
mda mwingine Usiri wa wababa ndio shida kuna vitu vingi kwa wazazi lkn mara nyingi akina mama ndio shida Yani unaweza kuta sio Baba ako
2025-10-15 20:07:46
23
Ally :
kumchukia mzazi ni sawa na kuzichukia hela 😆😆😆endelea kuishi utajifunza tu
2025-10-19 05:55:01
1
mr makava :
hao wanao lalamika ni watoto wanje yandoa
2025-10-16 06:17:33
6
🦋oficial🍃💫 :
siwezi kumaliza wiki sjaongea na baba angu kwanza tunaenza ongea kwasiku ata mara tatu😂
2025-10-16 06:01:49
24
Chucho🇹🇿 :
Oya nyie wazazi wanazingua sio poa kuna kitu mzazi wako anakufanyia mpk una jiuliza hivi huyu kwel mzazi wangu daaah so sad😢...!
2025-10-15 19:54:59
85
TAWILE PICTURE :
mi nalia kusikia ujinga huu...ngoja oue uwe na familia ndo utajua baba ako alipitia nn
2025-10-16 07:30:18
0
KangcHoi🇰🇷 :
Subiri wote wafe akili zitakaa sawa tu
2025-10-16 07:28:26
1
MrPcm07 :
Hii sio kiki ni ufara
2025-10-15 18:44:35
4
Wanzoki Wanene :
mm natamani hata baba angu angelikuwepo angelikula pesa sana
2025-10-17 14:15:16
2
Hassan mariva 🔋 :
jamaa anaongea really kabisa kama mm na baba angu hatuna story Wala hatuna ugomvi Mzee jau sana
2025-10-15 17:48:19
23
_Kiboko :
Fanya uongee na Mzee wako acha ujinga
2025-10-16 16:45:45
0
𝐊𝐄𝐕🌑🌑 :
Ambao hawajapitia Hiyo situation hawawez kuelewa..
2025-10-16 05:17:59
1
p willy :
kuna mda hatukatai wazazi huwa wan kosea lakn kweny hy maisha hutakiw kuingilia ungov wa wazazi lakn jiulize n ww utakua baba je mwanao utaishi nae vp jifunz bale baba ako alipo kosea lekebisha
2025-10-16 03:32:21
1
Gaspar Meing'ati :
Mimi mdingi wangu yuko poa ila mimi sinaga muda nae
2025-10-15 22:10:59
5
Sam people :
tupo wengi kaka
wengine mpaka wazazi wote wawili Yani najiona kama YATIMA vile
2025-10-19 00:57:59
3
Kizzb24 :
kama hauna mzazi wa hvy huwez muelewa huyo brother
2025-10-15 23:10:55
6
To see more videos from user @dieliapro, please go to the Tikwm
homepage.