@tiffahstylish: Replying to @thanmdima #jinsiyakukatabwanga #tiffahstylish #0699402442 #mishonoyavitambaa #mishonoyakisasa

Tiffah stylish ✂️🧵
Tiffah stylish ✂️🧵
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 October 2025 21:21:18 GMT
15435
532
43
146

Music

Download

Comments

user7858342614924
jasmin :
kipezi fanya uwe na gurp tuwe tunachangia hata bukubuku za bando ndo mawazo yangu yalipo ishia🥰🥰
2025-10-16 05:54:35
4
ruumpare
Mshana's Daughter :
kwahyo kipenz hata kama mtu nimnene unashuka hapo kwenye msamba nchi 12
2025-10-16 06:11:18
1
ashaviela6
Asha Viela :
dada nielekeze kukata kola ya shati
2025-10-16 03:56:24
1
mrsjulius2
mommy birion :
sawa imeelekeza vizuri sema sasa tunatakiwa ku download video ili kutazama kwa makini tafadhali kuhusu hilo
2025-10-16 07:45:33
2
shani.athumani5
Shani Athumani :
dada tuone hadi kushona ilo bwanga kipenzi
2025-10-16 05:34:33
0
uniqshaaq03
ya rough 🌹 :
tiffah naomba unifundishe jinsi ya kukata na kushona hii shati
2025-10-16 11:39:25
0
ney.wa.mama
Ney wa Mama :
Mungu akubariki fundi🥰
2025-10-16 12:13:40
0
habibajuma4983
HABIBA JUMA :
ipsi upimi
2025-10-16 05:51:43
0
sophytama151
s. c. t quite :
namba ya group kpnz
2025-10-16 05:18:39
0
monicastylish
Monica stylish :
naomba namba yako kipenzi
2025-10-16 04:24:38
0
jaluodiva
jaluodiva :
Ofisini kuna kelele ila fundi upo vizuri
2025-10-16 04:08:00
0
tessy.john93
Tessy john :
dad unaelekeza vizur na me nimeelewa
2025-10-16 04:06:57
0
faizer116
faizer116 :
tunata kusev umeipiga pin
2025-10-17 10:00:00
0
emmy40197
Emmy :
da tiffah ubabai kawaida..piga kazi 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 mi NAKUPENDA
2025-10-17 08:32:02
0
tinnah5gmail.com
user9322717876191 :
Asante dear vp hiyo mifuko unaweka kawaid kama mifuko ya gauni
2025-10-17 08:13:21
0
fellycharles
Felister :
sio Siri we dada unaelekeza vzr sana Mungu akubariki
2025-10-17 04:58:41
0
queencolle21
true colle :
dadaa tafadhali radisha namna video inasevika😔
2025-10-15 21:38:38
0
ummu.ayra8
Ummu Ayra :
🙏
2025-10-16 09:27:30
0
binti.ally48
Binti Ally :
🥰🥰🥰🥰
2025-10-16 14:42:07
0
sarashlaizer
sarash designer🪡🦋 :
Naomb nielekeze kuchukua vipimo vya surual ya kike
2025-10-16 16:54:40
0
estercosmas575
Ester Cosmas :
unafundisha vizuri sana,ila vip kuhusu hips umetuacha
2025-10-16 03:18:53
0
mwamvilicios
IYYA COLLECTION 👘 :
Baby ruhusu tusevu video
2025-10-16 00:04:47
0
To see more videos from user @tiffahstylish, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About