@cruzzygamer: TBT๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kuna angle ilikuwa ukizipata tu basi GAME OVER๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ #pes2021 #playstation2 #tbt

cRuZzY gAmEr ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ฒ
cRuZzY gAmEr ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ฒ
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 October 2025 07:35:52 GMT
154088
9820
797
2587

Music

Download

Comments

allybanza08
Ally Banza ๐Ÿƒ :
๐Ÿ˜น Ilikua hukosi, ukipata Ronaldo, Adriano, Zlatan au Rooney Aaaah Kubababake
2025-10-17 05:26:26
184
king.mg.99
king.mg.99 :
PS2 Ronaldo was unstoppable ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
2025-10-16 16:24:53
290
coilabaye
TEACHER OF THE YEAR๐Ÿฟ :
MSIMSAHAU (( GULLIT )) classic Netherland๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2025-10-18 13:09:48
0
_gray360
_Gray360 :
Sheria ni moja tu usikandamize box sana๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2025-10-16 20:02:19
22
heis.genius
แ—ฐ แ—ฏ I แ‘Ž Y I :
Kuna mwengine bale upande wa kushoto๐Ÿ˜…
2025-10-18 11:27:47
1
nemoo_20200
Dรขรฑฤฃ3ล•รดรปล›-Mรฏรฑฤลผ :
Cr7 shot power 99 dribbling 96 stamina 94 Ps2 Ronsldo ulikua humalizi
2025-10-17 18:46:11
16
idriss_hussein7
Mr Idriss :
halaf kuna ibrahimovic๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2025-10-16 16:53:55
91
amorjuma
amor โค๏ธ :
UYO KUMA MPINZANI WAKE KDGO ALKUA HALAND MAMAE
2025-10-16 14:09:10
24
muxassilver
MU, silver๐ŸŒ๏ธโ˜„๏ธ :
alaf Kuna messi R2 sumu
2025-10-16 18:34:04
30
abbas.birdman
Abbas birdman :
hapo mguse C.ronaldo alafu refa n kazuki ito ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2025-10-18 08:13:30
3
ramxom2babu
M2babu Sneakerโ€™s ๐Ÿ‘Ÿ :
Unaikumbuka intermilan D milito pandev ,Oyaa ndio ilikua wanaweza kubishana na hawa
2025-10-18 07:58:03
2
dullykadirkanal
KANAL :
alafu sasa kuna ile unampa goalkeeper wa mwenzako red card unakaribia na mpira lkn humchengi goli unatoa pasi na triangle...unafanya tu kumwona yule refa mchina akija mbio๐Ÿ˜‚
2025-10-17 15:55:20
4
motd_jax
โ™จ๏ธ๐Ÿ‘Š๐Ÿ’ฏ :
kwenye faulo kuna Thiago Motta wa psg Enzi hizo inapigwa bunduki hapa na sudan๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2025-10-16 19:06:54
10
cromwell_254
barackacromwell :
Hapo upate Hulk,Balotelli,Zlatan wueeh๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’€
2025-10-16 19:49:11
14
ik_geeh
iklayza org :
kuna msenge ibrahim cadabra ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hakabiki kwanza mabek watatu wanakaa kweny mkono mmoja ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
2025-10-16 19:53:54
35
righton.19
righton 19 :
unakuta mwana kushoto ana ronaldo kulia ana bale dribble mbili kambaa๐Ÿฅบ๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜…
2025-10-16 21:02:30
19
stelasking16
stelasking16 :
oya kuna yale ya kati nilikuwa nashida na yahaya tuore swastiger
2025-10-17 03:06:39
5
williamkuria1
kuria :
khedira katikatii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2025-10-18 12:45:07
2
ozz_brown
ozz brown :
mi ps 2 bila y team ya Ronaldo au Ibrahimovic nilkuwa sichezi ๐Ÿ˜‚
2025-10-17 06:01:57
2
b_champii
Mtanashati B :
memsahau benzema kwa vichwa๐Ÿ˜†
2025-10-17 15:59:48
0
its_tequila
its.tequila :
๐Ÿ˜‚na hiyo box kuna mahali ilikua inafaa kufika otherwise unapura nje
2025-10-17 08:24:16
3
mr_location96
๐“œ๐“ป ๐“ต๐“ธ๐“ฌ๐“ช๐“ฝ๐“ฒ๐“ธ๐“ท :
wadada wakiona izi comment za PS2 watahisi ni dawa ๐Ÿ˜‚
2025-10-16 22:34:19
8
elitecooling15
Shaqra Abou15 :
Kuna mwamba wakuitwa Robben ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
2025-10-17 19:30:26
0
blackraven.11
RAVEN ๐Ÿฆ…. :
wanangu wa box triangle tujuane ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ apo ukute uko na frank ribery
2025-10-16 19:37:59
10
vamz42
Vamz :
Ps2 at its best๐Ÿ˜‚
2025-10-16 14:58:26
2
To see more videos from user @cruzzygamer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About