@wasafwatunduma: UTAIPENDA BAND WATUMBUIZAJI WA MUDA WOTE KWENYE KIKUNDI CHA UMOJA WA VIJANA WA KISAFWA TUNDUMA #videosnapchallenge #tiktok #creatorsearchinsight #mbeya #videosnapchallenge
Sifa kwa Awilo wa Mbeya kuupigania huu muziki mzuri wa kisafya🔥
2025-10-16 20:43:24
13
Kidoti💋 :
nimeipenda wimbo wenu
2025-10-22 19:25:56
2
beabummy :
nyimbo izi zinapelekaga spirt yangu mbali sana. kama vile nilishakuwepogi zama izo I don't why. japo hata sielewi kina kinacho imbwa ila nazipendaga ivyi hivyo😂😂😂🥰🥰
2025-10-23 10:29:59
1
Mmalila :
nitumie jina la nyimbo au link nacheki siion😂
2025-10-22 19:05:47
1
machamemushi :
tupe maana ya wimbo kaka kabila gani
2025-10-18 05:55:30
3
Plumber💦 :
youtube tunaandikaje kuwapata
2025-10-17 10:56:22
3
UCHEBE EMPIRE :
Jina la ngoma kaka please🙏
2025-10-21 10:31:50
1
rifati :
wimbo unaitwaje
2025-10-16 17:51:50
3
Cairo Mwaijande :
💯🙏sana wanangu wa MBEYA 💪🙏
2025-10-23 21:35:13
0
Magwila fashion wear :
Mm naomba Wanamaker wimbo wa Dino
2025-10-19 09:58:36
1
GabrielNetroUnique :
Même si vous moderniser votre musique, ne la dénaturer pas . Salutations distinguées depuis CÔTE d'IVOIRE.
2025-10-17 23:32:26
1
Sikudhani Minga :
na upatajeee
2025-10-17 12:10:35
2
Roby Albert :
post na zile wameibwa Kiswahili
2025-10-17 06:04:02
2
Henry Nkya :
Wachaga tunaopenda nyimbo za Wasafwa japo hatuzielewi ila wanaimba poa sana🥰
2025-10-17 18:59:30
9
Kichapo :
ule wimbo wa kanyaga twende wameimba hawa wamba au wale ni Warugulu?
2025-10-19 17:07:56
1
mabudaissere :
hao jamaa wanajua sana, wamefanya niikumbuke mbeya.. niliishi mbeya miezi miwili,napamiss sana hasa tukuyu
2025-10-17 16:17:58
2
use tadeo kapola :
naomba jina la wimbo na msaani alie imba
2025-10-18 18:05:18
1
vaileth bahath :
inaitwaje hii nyimbo
2025-10-17 06:18:54
2
yona Madina :
mbombo mbombo
2025-10-18 18:53:28
1
Dunda_boy :
waaaoh nawakubali saana wanangu
2025-10-16 09:58:49
2
Salome haonga :
nawapenda 🥰
2025-10-17 05:20:42
2
Alex Nzaranje440 :
ngoma linaitwaje
sas 😅😅
2025-10-17 14:20:26
2
kingu2020 :
Shawiwi yooo 🥰🥰🥰
2025-10-19 18:35:07
1
user8603826263630 :
daaah! wanaimba vizur sana napenda huo utamaduni
2025-10-16 18:50:10
3
everyne Moses :
nakumbuha hutali ishitala shimalanzi🥲🥲🥲
2025-10-16 21:49:52
2
To see more videos from user @wasafwatunduma, please go to the Tikwm
homepage.