@tnctanzania: Haamini macho yake kwa anachokiona😂😂😂. #trending #entertainment #tnctz #viral #fyp

Tnc Tanzania
Tnc Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 October 2025 11:28:41 GMT
67131
1667
85
221

Music

Download

Comments

chindau6
@chindau :
atafute tu hela huyo kila mtu atamuona mzur
2025-10-16 14:42:00
6
kelvingodson
No body 🤬🤬😡😡 :
Tusipo muhai anaweza akajikata kama sio yeye😂😂😂
2025-10-16 11:37:56
28
mpilibay99
Mpili bay :
apo anajiambia kimoyo moyo bila pesa hatoboi
2025-10-16 19:19:02
0
mistaken_8
@Anonymous :
10/10
2025-10-16 14:07:52
4
bob..pixel
Bob...Pix🐾🐾 :
ukinuna,mbaya ukicheka mbaya 😂😂
2025-10-16 15:16:02
10
user3932039101072
nasra💓 :
anaigeuza sura kila upande ila hapati jibu 🤣🤣🤣
2025-10-16 14:22:08
3
user9957712723905
mamta rahman 💕 :
Kama kasingiziwa vile
2025-10-16 18:18:56
1
pretty.vee012
pretty vee :
na kioo chenyewe kinasemaje 🤣🤣🤣
2025-10-16 14:02:10
2
nashnei01
nashnei :
niuwe mbwa🤣🤣🤣🤣
2025-10-16 18:10:22
0
neemanzoa
neema :
atafute hela hakuna mwanaume mbaya duniani awe tu na ela atafaninishwa na akina joni sina
2025-10-16 19:04:23
0
user2982337739129
fetty d@dy :
hiiii ni maajabu 😂😂😂
2025-10-16 12:46:04
2
bayhacktz.com
bayhack🇿🇦 :
Hapo ana jion mwamba kinoma 😁
2025-10-16 15:57:20
0
vanny.vance
Vanny Vance :
Kaiona sura ya sita mstari wa buku😂😂
2025-10-16 18:40:21
0
ezekiel.njera
Ezekiel Njera :
anajiuliza uyu nilimuona wapi😳😳🥰
2025-10-16 14:44:07
3
teddyfaustin3
Baby T :
10/10
2025-10-16 17:07:55
1
kanokevon7
kanuniakaambwa :
anaona umri na uso haufanani😂😂😂 anaisi kuna mtu ameazima uso wake nini😅😅
2025-10-16 13:48:23
4
user2192881617834
fatna😍 :
khaaa 🤣🤣🤣
2025-10-16 18:45:05
0
sonmjohnson.abeli
TOPIDO. SONI ABELI CHUGA BOY✅️ :
ndio sura zakiume izo
2025-10-16 17:54:19
0
michaelrajabu381
RJ.👑 :
jinsi alivyokua li handsome
2025-10-16 18:28:39
0
mtonho
MTONHO🇹🇿🇹🇿 :
tacheka baada ya uchaguzi isije nikahusishwa🤐
2025-10-16 16:16:51
1
puff.dady58
PUFF DADY :
dakika zajioooooooooon kabxa😂😂😂😂
2025-10-16 16:34:54
0
dasobrown255
Boysad :
anajikataa live 😂😂😂
2025-10-16 18:04:15
0
mkeka4life2
#rick jay :
anasema siyo yangu hii
2025-10-16 12:09:48
6
abdullatifally9v6
Abdullatif ally :
🫡 life with no filter
2025-10-16 15:27:42
0
user23715658119128
user23715658119128 :
mi siwezagi Ata kujitazama mahana mhh😄😄😄
2025-10-16 17:12:20
0
To see more videos from user @tnctanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About