@ms_munno: LIBRA SEASON! . Tukutane darasaniii! . MADARASA YETU YA UKOMBOZI WA FIKRA YANARUDI TENA RASMI TAREHE 03/11/2025 GHARAMA NI 53,000/=tzs (kwa kila darasa)🧿 . TUNA MADARASA YAFUATAYO✨ 🧘🏾♀️1.MANIFESTATION & MEDITATION (begginers) hapa unajua nguvu ya ubongo,hisia ,mwili na nafsi yako na namna ya kuvuta mambo yenye manufaa kwako kupitia nguvu hio. . ☸️2.CHAKRA & RITUALS (kutambua mzunguko wa nguvu ndani ya mwili namna ya kuifungua nguvu hio,kutambua njia mbali mbali kwa kutumia asili kuvuta wingi,mapenzi,afya,n.k . 👑3.DIVINE FEMININE ENERGY (wanawake tu) hili sasa ndo lenyewe🙌🏾 Linakufundisha namna ya kutambua nguvu yako wewe muumbaji,uweze kuumba lolote kwenye maisha yako,hapa mwanamke anaeteswa na chochote aingie humu aidha mapenzi,afya,pesa,maisha yaani chochote! Pia utajifunza kuitambua hedhi yako na mzunguko mzima una maana gani🧚♀️utajua namna ya kua mwanamke na ulimwengu ukubebe kiutukufu sana! . 🤰4.DIVINE WOMB (DARASA LA WAJAWAZITO,WENYE WATOTO NA WANAOTARAJIA KUA WAZAZI) hili ni darasa la kila mwanamke! Linakufundisha namba ya kutumia mimba kwa manufaa yako,namna ya kuumba mtoto wako,naomba ya kulinda kizazi chako dhidi ya laana za ukoo,jinsi ya kujiponya mzazi ,nini cha kufanya katika kila umri wa mimba,ritual za kufanya kama umetoa mimba,kuelewa concept ya abortion na miscarriage kiroho..hili darasa ni la kiroho na powerful sana!!! . ♈️5.ASTROLOGY & NUMEROLOGY Elimu ya nyota na namba,utatambua maana ya nyota na chimbuko lake,utatambua nyota zako ni zipi na asili kuu ni zipi,utatambua nguvu ya kila nyota na namna ya kutumia.. mambo mengi mno yapo humu kuhusu elimu ya nyota! Hili ni darasa gumu kidogo. So kwa begginer aanzie juu! . ⚠️N:B MAFUNZO YOTE YATAFANYIKA KWA NJIA YA TELEGRAM TU! . KUJIUNGA LIPIA HAPA👇🏽 ☎️: +255 625 237 373 halafu tuma uthibitisho wa muamala whatsapp kwa namba hio hio utaungwa! . SEE YOU IN CLASS🧚♀️ cc @divinewellness_global #fyp #munno111
Munno_healer🪄
Region: TZ
Thursday 16 October 2025 14:12:57 GMT
Music
Download
Comments
Munira :
Sasa Leo ndio najiskia kuachana na mpenz nianze upya kwaiyo nisemeje apo
2025-10-16 16:28:51
12
ESTHER 🍀 :
kuna mimi sijuwi ata tarehe yakuzaliwa
2025-10-17 16:12:24
0
candycherry :
Munno October nafatwaaa na maexxx uwiiiiiii😂😂😂😂.....helpppppppp
2025-10-22 21:09:28
0
GRACE THOMAS :
Asante dada munno
I am Libra ♎️🥰🙏
2025-10-17 09:03:32
4
kadex kade🌺 :
utajuaje nyota yako
2025-10-16 18:12:50
0
Sephora Buu🌷 :
No wonder am proud to be a Libra ♎️❤ , representing Libra ♎️October 21st , thank u for the wishes 🥰🥰🥰🥰 and yes we are the most attractive creatures ❤❤
2025-10-17 02:41:20
11
Joy😊 :
😂😂😂iv lin uliwaongelea sag sisi sister sign wako lkn 😔😔
2025-10-16 15:06:43
3
Themissboss :
lazima uwe fun wao sababu wew upo kwenye element ya maji mnapenda mapenzi yenye hisia za direct na libra wana mapenzi sana ☺
2025-10-17 14:42:06
2
I am nai official :
na mm nipate hela in sha Allah nijiunge
i really wish☺️☺
2025-10-16 14:18:09
9
FemmeFortunee 🍀 :
😍😍😍😍🥰 team libra♎
2025-10-17 07:35:44
2
bby evo :
Mungu amekutuma kwg da munno🙏
2025-10-16 15:11:15
1
Cara’s hair products :
Wow thanks 🥰
2025-10-17 06:48:08
1
traves :
yan muno. mm tayr nmesave 😁😁
2025-10-17 06:32:07
1
THE LEVEL UP ZONE :
yoooh I got this in time
2025-10-16 14:21:03
1
Beauty Crown :
I love you munno 🥰👌
2025-10-18 07:25:06
0
Jacqueline_nicky :
thanks darling
2025-10-17 13:50:50
0
Hope 🌺 :
Thank you Munno Am proudly Libra 😍
2025-10-16 16:02:25
6
skipper Tz🇹🇿 :
Thanks mom🥰
2025-10-16 16:05:45
0
bhairuqy :
thank you munoo🥰🥰happy birthday to me 🥰🥰
2025-10-17 01:39:46
0
emmyanold525 :
hivi dada hayo mambo niyakwel kbc
2025-10-17 09:54:02
1
mendradangonji :
thank you..mine 16oct
2025-10-17 00:20:14
0
happymsuva_ :
Thanks da Muno
2025-10-17 05:32:18
0
anitha_008 :
Thank you munno 🫶🏻
2025-10-16 15:58:23
0
Flexxi :
....aaam mom what about me scorpio??
2025-10-16 16:13:50
0
Tiphercute beuty ❤️ :
Am proudy libra quuen🥰🥰
2025-10-16 17:39:30
1
To see more videos from user @ms_munno, please go to the Tikwm
homepage.