@sinamiaka0: #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #footballtiktok #football #simba

Sina miaka tz
Sina miaka tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 October 2025 14:35:08 GMT
112568
6772
335
110

Music

Download

Comments

maggi_e7
Lena🦋 :
Maskin Tshabalala ukute saiv amekuwa mpishi wa timu😭😂
2025-10-19 19:47:54
35
user1967337860065
lemy manga :
furaha yangu ni kumuona shabalala anakunywa sumu
2025-10-21 09:11:05
7
felisternkwao51
felister :
jamani nawapenda wachezaj wang ila saiv mmezd kujipost haswa budo
2025-10-23 10:46:44
0
monicaleonard306
moniee :
Tunawapendaaa na tunawaombea vijana wa mo watuletee ushindi♥️♥️♥️♥️🦁💪
2025-10-16 21:00:23
15
unstoppablelovetz
Unstoppable love :
ila maema anapenda sana kucheza
2025-10-22 15:36:05
2
officialrk49
Official Rk49🩵 :
budo ndo mwalimu wao 😂😂😂
2025-10-24 17:09:59
0
tolli.girl
Being Tolli lady❤️🔓🦒 :
maisha ni magumu atlist wachezaji wetu wanajua Mapiano 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-17 10:41:56
15
naima__1994
naima :
nmeelewa kiuno cha rushine sijui ndo nyege znanisumbua😂😂
2025-10-17 03:04:19
0
tee47897
tee :
ni wao tyu amna mwingine
2025-10-24 04:31:47
2
joyce.jr37
baby girl 37♥️♥️ :
usikute Tshabalala anatamani wanavyocheza😁😁😁
2025-10-17 16:23:23
0
lightnessnekemiah
Lightness Nekemiah :
mnamtamanisha budo anamsahau alichokuwa anafanya
2025-10-17 18:28:51
0
user1279676533520
Sasha🦋🦋 :
Ronaldo na messi
2025-10-22 18:14:08
1
eddy_farmer
eddy_poetry :
mamelod imehamia simba
2025-10-25 05:26:56
0
_ramm_255
_Ramm_ :
Mutale anawaharibu hawa vijana🤣🤣🤣
2025-10-17 04:38:21
1
saidsaid7428
saef :
Jamaa wameridhika na maisha ya mnyamaa
2025-10-24 08:31:25
1
samwelyjonhsone
Samwely-jonhsone :
hawa jamaa nawakubal sana hatahawana malingo
2025-10-23 04:46:45
0
azizahaslan
azizahaslan❤️ :
huyo budo akil zake zamtosha mwenyww 🤣🤣🤣
2025-10-17 09:11:25
0
aboutrker007
🇹🇿أبؤبكر الصديق :
𝒌𝒂𝒛𝒊 𝒌𝒖𝒎𝒄𝒉𝒐𝒌𝒐𝒛𝒂 𝒃𝒖𝒅𝒐 𝒕𝒖
2025-10-22 08:12:19
1
user6265173478135
Dom :
apo wamesha sahau shida zote mamelodi wata jua wao 🤣🤣🤣
2025-10-24 19:14:55
0
user9005828303030
Mdimi :
bundo hajaonekana hapo
2025-10-21 21:13:35
2
cristian_mkude
ghost killer :
pame anza kuchanga mkaa
2025-10-17 14:11:31
2
saudamanga
saudamanga :
tuna watakia ushindi
2025-10-18 04:54:59
0
eustady
Lugu@TZ :
apa mtale anataman awepo🤣🤣
2025-10-17 05:36:23
0
lucasphilmon
lucas :
kawa mpishi tena shabalala mbona mnachekesha sana duuuh sema huko anajutia sana kwa maamuz yake ya ajabu. tusha msahau sisi saiv tuna mligo 🤣🤣
2025-10-22 06:33:46
2
calvinolomi70
calvinolomi411 :
ni mwendo wa amapioano tu kama timu yenu Haina wachezaji wa south Africa mtupishe kidogo
2025-10-17 04:06:08
0
To see more videos from user @sinamiaka0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About