@amani_dimile:

Amani_dimile
Amani_dimile
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 October 2025 16:55:49 GMT
250507
19232
1443
1111

Music

Download

Comments

sammy0717067014
Sammy :
Nakuuga mkono kaka hata Mimi ni vivyo hivyo 💪💪💪
2025-10-16 17:59:37
626
mrisho.amin
mrisho amin :
tupo hapa hospital tunakusubir uje kutibiwa nawenzio wasiosoma
2025-10-17 12:42:07
54
kiha702
kulwa fedrick :
acha ujinga ayo yote unayo yaonge nikwasababu ulisoma mjinga mkubwa hata mtoto mwenyew huto pata😠😠😠
2025-10-20 20:19:52
0
cleyangel22
CleyAngel :
hamna sehemu ya kulike mara mbili jamani👌👌👌👌👌👌
2025-10-16 17:46:19
98
gentleman_x00
Gentleman :
Vipi tarehe 29 utakuwepo?
2025-10-16 18:17:22
224
user40297061051072
Tina paul,, mc :
cheti ni cha muhimu kwa dunia ya sasa kaka
2025-10-19 09:00:01
1
kizz_smoke1
MO BAD :
Shule ndo imekupa huo ufunuo kaka acha
2025-10-17 14:48:21
15
nguli53
Nguli :
nikadhani nawaza hivyo pekee yangu! big up sana 💯
2025-10-16 18:39:56
138
musa.nassoro.kima
MUSA NASSORO KIMAYA :
tukuulize wew hio elimu uliyosoma haijakusaidia?
2025-10-17 07:08:15
28
louiskingchuw
king chuwa :
kitabu cha rich dad and poor dad kimeniokoa sehemu fulan
2025-10-17 06:34:47
7
nkundwekatima
Isack :
Kuna mtaala mpya shekh, ufuatilie utakusaidia.
2025-10-17 05:15:02
6
user5759619576747
john mtoi@#$ :
sasa wewe umemujuaje ngon migration bila kusoma
2025-10-20 08:44:36
2
wejelistic3
Flōw gång👽 :
hii vídeo ungeipost tik tok ingetrend sana
2025-10-16 18:29:31
29
dr.mishonoo1
star ⭐ big :
hata me hyo NDIo plan yngu mwisho ni la saba tu
2025-10-16 17:54:44
16
enedypeter
Last born :
Hii mitaala ya kipumbavu ipo Africa tu china mtoto anafundishwa fani akiwa mdogo
2025-10-17 08:59:12
5
lapulgamaster
Certified Genius :
Mm nampeleka academy ya ⚽ akacheze ball, baba yake nimeshindwa kuonesha yeye nataka aoneshe
2025-10-16 19:02:40
49
jovination_
jovination :
elimu bob inasaidiaa😂😂😂 ujinga nao kazii
2025-10-18 04:55:46
3
user430crideone
userCHRISTIAN :
huwezi tema madini hivyo unyimwe likes
2025-10-19 18:27:16
8
mwaki.sound1
Dₒᵥₐₕ_ᵢₘₘₐₕ⬆️ :
mbona kama umekojoa kwenye jiwe😂😂
2025-10-17 08:24:28
6
user6058173798841
king mben 15 :
Nikweli kaka elimu mdamwingine inawalemaza sana
2025-10-16 18:37:45
4
zaqcy
zaqcy :
msikilizen akupotoshen alf uy uy bdae 2nakuj kumuona mtt wke anamlazimisha amalize na master degree
2025-10-18 17:47:07
2
whozu.imole
Designer whozu bxs :
Good point bro Akuna billionaire dunia ambae alisoma wote awakusoma 🥰
2025-10-16 17:48:31
9
afromirah
Afromirah_tz :
Chukua soda hapo kwa mango ntakupa🥹
2025-10-16 17:36:02
22
queen_esterm7
Queen_ ester :
Asante sana broo. we need to change the system
2025-10-16 17:54:37
12
celivin.msimbe
celivin🪜 :
kwaiyo unamaanisha Bora mm nisio soma mzeee 😆😆😆😆
2025-10-17 12:14:50
6
To see more videos from user @amani_dimile, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About