@radiocitizenfm: Oburu Odinga, nduguye marehemu Raila Odinga awatambulisha wake zake wawili. “At my age, I don’t want her (first wife) to scratch me, to massage me, so I brought her helper, Judith Oburu…”
kama first wife ndio doctor na alikubali kukuwa na second wife na ww na hiyo umaskini yako hautaki second wife punga
2025-10-17 10:48:15
58
merci :
Judith Oburu wee gatekeep iromo gi miseee ni Kanye 😅😅😅
2025-10-17 12:37:27
7
crazy_lastborn :
mzee si unagongewa, ama unajitambua 😁
2025-10-18 05:53:14
0
Lynne moses :
Judith oburu,she looks like Winnie odinga
2025-10-17 14:13:32
0
Miss Positive Vibes :
Men 😂😂😂
I hate being the first wife 🙄
As a first wife you can't give me such a public embarrassment...😡
Ladies let's also normalize having a second husband akiongeza😜unaongeza😂😂😂
2025-10-17 12:33:24
159
Xtine333 :
na venye anatembeaga akitetemeka mjulus inasimama kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-17 10:32:20
470
Vinns :
Elder wife ni Dr😂Na alikubali 2nd wife alafu kuna wewe na Akili yako ndogo hutaki boiz wako akuwe Na sidechic
2025-10-17 10:16:12
349
Sasha🔹 :
oburu.do you need a third wife..it's urgent 🤣
2025-10-17 12:37:01
69
Mily Milcah :
first wife anakaa kisirani🤣🤣🤣sana
2025-10-17 09:52:09
771
Raila odinga :
mbona umevaa nguo zangu
2025-10-17 12:48:45
50
@janeangel :
lakini kutetea wajaluo Ni ngumu😂🤣🤣🤣
2025-10-17 11:07:18
427
ogwangololo :
ata ww unaona kugongewa ni constant 😅😅😅
2025-10-17 20:25:42
3
lifeinmotion :
Mimi hata girlfriend sina. 😂😂
2025-10-17 10:55:05
15
moryne kaworria :
alafu me nikidate mbaba mnacomplain
2025-10-17 11:50:41
94
@ Somie :
food it's very important 😂😂😂😂
2025-10-18 02:58:01
1
Aniceee :
🤣🤣🤣🤣🤣General of our times thanks alot General sir🤣🤣🤣
2025-10-18 04:07:19
2
NJERI🌸💮🎀 :
second wife ni gari mpya kds🤣🤣
2025-10-17 17:48:42
6
Brijoh❤ :
first wife akona wivu😂😂😂
2025-10-17 12:43:03
0
Harry jota :
uyu ni kitombi
2025-10-17 09:55:02
85
emmah favored :
Humiliation ritual at its best😒
2025-10-17 13:38:22
45
juniourz :
no wonder anatetemeka second wife anampeleka mbio yawaaah 🤣
2025-10-17 12:15:27
2
susankaleria :
Ida Odinga looks young n beautiful kuliko huyo second wife
2025-10-17 10:21:34
110
Sharon Adhiambo846 :
and the first wife is not happy😳
2025-10-17 11:08:15
30
Bennie♂️♀️i :
second wife anasmile kama yesu🤣
2025-10-17 10:46:02
57
user3593605421445 :
Real men and real African culture and tradition
2025-10-18 04:42:21
1
To see more videos from user @radiocitizenfm, please go to the Tikwm
homepage.