@ivan_oneseven: MWAKA MIWILI KWENYE NDOA KUMBE MTOTO SIO WAKE NI WA BOSS WA MKE WAKE🥹😭 FULL VIDEO IPO YOUTUBE JINA IVAN ONESEVEN. Cc @official_selenge #challenge #tiktok #challenges #ivan #tiktoktanzania🇹🇿

ivan_oneseven
ivan_oneseven
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 October 2025 18:43:41 GMT
99170
2611
329
94

Music

Download

Comments

frankmchomvu
Busy signal :
We jamaa ntakuwasha vibaooo unalia lia nini kikao kijacho uje na baba yako😡
2025-10-19 20:11:56
33
mishibaby01
mishibaby :
ivi kwann simpati kama huyu kaka maana daah😭
2025-10-18 13:20:00
5
florandoleyi
Florah 😊🇹🇿 :
Napenda mkaka anayelia Hadi raha🤪😂
2025-10-20 10:00:56
0
manirambonamariea
aimablange :
napenda nikiona mwanaume akiliya mm😂
2025-10-18 10:40:17
26
agagentle
Agagentle🥰 :
😂😂😂😂mnisamehe jamani lakini huyu kaka anavyoongea ananichekesha🤣🤣🤣msinifokee naumwa.
2025-10-20 05:04:50
8
kingkhantz
@Khan :
huyo msenge analia kijinga yan mwanaume unalia nin sasa 😏😏
2025-10-19 21:21:06
4
mollelezekielracheal
mollelezekielrach :
labda boss ndio kadanganywa ili aendelee kupata hela
2025-10-19 13:58:44
3
dearme032
dearme. :
huyu mwanaume n very humble maskini. Sijui kwann wanaume wazuri wanapataga wanawake vichomi na wanawake wazuri wanapata wanaume mabalaa tupu. Yan mahusiano jamani MUNGU aingilie kati
2025-10-17 18:50:54
33
baheba_boy
baheba boy tz :
mapenzi yatawauwa mbwa nyie🤣🤣🤣
2025-10-20 14:30:08
1
chuichui8850844311844
Madame Chui 🐆 :
Ivoonesha mwanamke yupo juu ya mwanaume aaaaah hatar sana😂😂😂
2025-10-17 22:22:41
12
iamneyjojkimby
iamjojo og💎 :
Nipeni huyo mwanaume me nimechoka kuumizwa uku😭😭
2025-10-19 13:31:00
0
johnjulius24
John Julius :
huyu dada nimempenda. hakuna kukubali hadi mwisho
2025-10-20 04:51:59
2
eliechi.kimario
Eliechi Kimario :
we mkaka c ukuje kwangu ht mi yananitesa😔
2025-10-20 12:30:30
2
miriamtz71
mirry jon's :
nilikuwa na isubiria hiii❤️❤️❤
2025-10-17 18:51:21
7
user5620058283593
skh bera :
aise uyo mwanamke ni jeuri sana
2025-10-20 14:46:05
0
mr.p.official.tz
KOMBA MEDIA :
hudhulie vikao unajifanya uko bize
2025-10-20 08:31:56
1
ommy.jj
ommy jj :
Jamaa yangu chukua kidogo changu 29/10/2025 utangulizwe mbele🤣🤣
2025-10-20 10:29:16
1
user744917864
Sam Sam :
ila wanawake eee nikama daladalatu🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2025-10-20 12:38:55
0
user8249726745115
John Bocco :
uyu kwenye kikao kijacho aje na baba yake
2025-10-18 20:00:35
2
user4245811232182
user4245811232182 :
asa ndo naelewa mkasa wa boss Kwa feruz
2025-10-19 18:23:38
0
phinerstevin2
Phiner Stevin :
ninahabar naomba unitafute
2025-10-18 04:09:13
2
rizzy5981
rizzy🥰 :
DNA
2025-10-20 14:20:14
0
hadija.kipimi
Hadija Kipimi :
Huyu kaka ake raja boy wa happy voice 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-20 06:07:02
0
annastaziaseleman
mwambusi anna :
huyu kaka kama shoga mbona mbatue kofi 1 tu
2025-10-19 19:44:47
1
fatmakaundu2
fatma kaundu :
kumbe bado wapo wanaume kama awa na amsemi😳😳
2025-10-19 20:28:26
2
To see more videos from user @ivan_oneseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About