@officialalikiba: New Song sella #tanzania🇹🇿 #alikiba #Kingkiba #fyp #fypage

Alikiba
Alikiba
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 18 October 2025 15:55:07 GMT
251764
33799
1186
591

Music

Download

Comments

merustar1
Teamor Merustar⭐ :
Kama Unapenda Alikiba Anguka na like hapa💘💘💘
2025-10-18 16:03:57
386
lony_mishisha
🅛︎🅞︎🅝︎🅨︎ 𝐌𝐢𝐬𝐡𝐢𝐬𝐡𝐚 :
Iv Alikiba ukiachana na mamb ya mzki kuna kosa maana sionag unacho kiimba
2025-10-18 17:24:55
57
joycegacheri
Joyce Gacheri :
king kiba siku zote 😍🔥
2025-10-19 06:11:39
3
rajabu.shaban96
Rajux :
kusema ukweli Alikiba anapendwa na watu wengi kuliko mr misifa
2025-10-18 18:28:09
232
4dfamily02
4D family❤️ :
Uzuri wa hii ngoma inapigwa hata kwenye kikao cha familia🔥🔥🔥
2025-10-18 20:23:06
38
rock01774
Rock :
nyimboo imetulia haitaji sampapa
2025-10-18 16:06:15
95
nasraslay
Nasra slay :
kiba nakpenda balaaaa yani nimechora tatoo mwili wangu wote ni ww2
2025-10-18 18:19:13
28
user3376901088886
lamasimba :
kingi apo umezinguwa nyimbo unaimba kama unajifunza mzik mzee
2025-10-18 18:44:22
10
julius4209
Mr Travol@julius :
Sawa ngoma zuri lakin ndo utuvalie suti ifanane na ukuta?
2025-10-18 19:05:38
26
alvn.ally
msela🍀ally🧼😈😈😈 :
wale wa 10/10
2025-10-18 19:57:09
18
edel.queen63
Edel queen :
huzeeki bana😂.... nilianza kukusikia nikiwa chekechea
2025-10-18 18:47:13
81
patrick.baraka10
Patrick Baraka :
ebu achana n'a mziki funga safari kwenda nunuwa mamboga
2025-10-18 16:33:43
21
rz4638
Këñyåñ Gëê Åñt🦋 :
it's giving stella😂😂
2025-10-18 18:25:40
6
mussa.shoni2
Mussa Shoni :
mke wa Pididy mavi yanagonga chupi sasa hivi sio kwa mashairi hayo😅😅😅
2025-10-18 19:49:17
9
maha1_saad0
Jojoh saad :
my 9 yrs old loves Ali kiba like crazy........much love from my kids to you ........
2025-10-18 17:08:52
18
zawadiravon4
Zawadi Ravon 💞💗💝, #$&@@ :
sauti ya king kiba niki sikia tu mwili una sisimuka
2025-10-18 16:09:04
20
princehurukanga
Prince Hurukanga :
heri hii kuliko ile ya yule wa sasampa🤣💔
2025-10-18 21:59:46
7
husnarashid910
Husna Rashid :
ally kiba ilove you so much
2025-10-19 05:23:38
5
soulboy1959
upenji meshake. J :
Asate kwa kupromoti kibongo ila sijui kama itavuka mpaka... soko ya nje ni game tight bro.
2025-10-18 23:17:35
4
samakwezanibwaza
samathabwazakwezani :
ilove you kiba.. watching from malawi
2025-10-19 06:15:31
4
celestineangel69
CELESTINE 🇰🇪🦋 :
na si umebeba🤣🤣🤣🤣
2025-10-18 18:13:53
5
mcmsami_0673379933
Mc MSAMI 👑 :
mm sio shabiki wa kiba ila hii ngoma Ndo chakula changu asbuh mchan Usiku sella
2025-10-19 06:31:23
6
babykaman3
user1108393677109 kaman :
Nani anamsumbua king kibah!?😁
2025-10-19 05:24:08
3
user15868128737787
Ashawaiddi😘 :
ushamuimba stella wetu kimpango🤣🤣🤣wow njoo dawida
2025-10-18 18:04:44
5
jumamessi_
Juma messi :
HII KITU 🔥 TUNASIKILIZA WENYE SIKIO LA MUZIKI TUU
2025-10-18 17:15:11
42
To see more videos from user @officialalikiba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About