@khanv050: #tanzaniantiktok🇹🇿#kenyantiktok🇰🇪 #ccm #maandamanotanzania

khan v
khan v
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 October 2025 16:21:38 GMT
54759
2627
156
226

Music

Download

Comments

lizzy.chami7
Boby.boby :
hawa ndio wale wengne tunaanza usiku
2025-10-18 21:39:03
68
breyvvian510
Brey -Tonny :
Uhuru WA Kenya huo😁😁😁 Maana huko Tz hamwezi fanyahao
2025-10-19 07:07:02
6
user5373791865287
user5373791865287 :
hiyo ni rasharasha tuuu mvua ya mawe ni Mo 29
2025-10-20 09:10:58
0
khanv050
khan v :
vijana Wana muamko na hapa ni Kenya sasa
2025-10-18 21:17:12
6
magembe516
Magembe :
sawa mnafurahia ii kitu inamadhara yake ten hua mazara hasA
2025-10-19 01:58:10
4
mary.joseph93
Babegirl💃🦋 :
Mnaandama mkowa kenya si mje mpk Tz paka bata nyie
2025-10-19 09:47:26
0
user55099869761374
whispers :
mimi nikija TZ nataka mrembo wa kichaga
2025-10-19 13:49:56
0
brianbm266
First born :
Hao ndio wale tunaanz usiku wa manane
2025-10-20 08:03:01
0
goldbravo_tz
Goldbravo :
kwani uliacha kuimba ukawa reporter 😅😅
2025-10-18 20:55:45
6
blackamerican179
Black American :
Jmn tukazie apo apo tunaweza kuichukkua nchi yetu kutoka kwa wauni
2025-10-19 01:02:04
5
an.nettieh
an.nettieh🔥❤️ :
Mama Samia Mitano tenA🥰🥰
2025-10-19 09:10:53
1
team_chief_kijana_wchief
TAJIRI KIGUMI💸KIJANA WA CHIEF :
Noma sana Aseee👍👍👍
2025-10-18 22:25:55
2
rey85115
rey :
nilini hii
2025-10-19 07:06:19
3
user9401560804853
Chugastan😉 :
wengine watatoka usiku usiku wa manane
2025-10-19 05:34:10
9
user5041425916557
💫🇹🇷💫 :
mpk dakika hii hawaelew wamkamate nani😅😅😅
2025-10-19 09:30:28
0
mwalimumwalimu261
Mwalimu Mwalimu :
good tz
2025-10-19 03:46:04
2
tibumunga
hatibumunga :
mambo niyapendayo haya nielekezeni mlipo nije na soda yangu ninywe inishuke 🥰🥰🥰
2025-10-19 17:30:37
0
carparkingshade5
CAR_ PARKING_ SHADE _MTALAM :
October 29 mtakoma tuu lazima lisu atoke njee
2025-10-19 06:24:39
2
mariamkilonzi22
Da Mamu🇰🇪girl :
wanaume wako Mara Tuu 😂😂
2025-10-19 05:51:18
3
shilla.001
Shilla🫶🫶006 :
kazi Zuri Sasa Wa Tz umejua
2025-10-19 00:59:50
6
bonny1982
Kumbavu Kabisa :
wapi firimbi na vipenga....😳😳😳😳
2025-10-19 07:57:48
2
shabani.muhonaje
Shabani Muhonaje :
tushindane kwa kula nyie wahuni wezi
2025-10-19 17:29:26
0
lovely81771
lovely Jane ❣️ :
Good job cousins 🇰🇪🇰🇪
2025-10-18 23:36:55
2
khanv050
khan v :
October 29 tunamtoa tundurisu
2025-10-19 05:12:14
2
noel.j.jux
Noel j Jux :
wao
2025-10-19 21:55:12
0
To see more videos from user @khanv050, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About