@zenny_zey: Waambie Sio Kwa Penzi Hili🤣💃❤️ #mozey #fyp #foryou #tiktok #tranding

Zenny_Zey
Zenny_Zey
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 18 October 2025 17:28:14 GMT
147963
8354
243
448

Music

Download

Comments

_mwanah
M@rby ❤️ :
fundi mitano tena na maua ya kutosh 💐💐
2025-10-19 11:48:31
18
nasle.saleh.hamad
Nay_asle :
unapatikana wap
2025-10-20 09:28:40
0
barkitha6
Barkitha❤️ :
make up artist apewe tip🥰
2025-10-18 17:46:43
36
hamidat7774
Hamidat💦 :
Kipenzi naomba unijibu plz, hicho ni kijora umedesign? au ni kitambaa tu umeshona
2025-10-19 14:39:21
1
ashleytz68
AshleyTz💕 :
Huo mshon kampe fund wang sasa 😂😂😂😂 mashallah umependeza🥰
2025-10-20 09:24:32
0
arfaah3
🔐🦋💫💦arfaah3🦋🦋💦 :
hata designer apewe kiti akae maana nguo ime endana na rangi yake mashaallah anaekumiliki akutunze vizuri🥰🥰
2025-10-19 07:07:23
16
user5697428027561
user5697428027561 :
nishapata mshono wa dera 😅😅
2025-10-18 19:41:27
4
mrs_doza
❤️🦋ashuuh❤️🦋 :
Umejulia my🥰❤
2025-10-18 18:03:27
38
official_.milah1
🦋🦋Milah🦋🦋 :
hapa umependeza mashallah na nguo ajab ❤
2025-10-18 18:02:35
9
_.itsmirah2
💜🦋it’s mirah💜🦋 :
Mshoni pambe mashallah ❤️🥰
2025-10-19 03:53:30
2
mrsswaleh5
malkia :
number ya fundi please
2025-10-19 19:02:13
0
mayyah867
Mayra😍♥️ :
Rudi kwa huyu Mua dada 🥰 amekujulia
2025-10-18 18:59:25
2
sophiasuu1
Sophia suu :
zenny ukibadilisha mpambaji twakuchapa🥰 pambee mashallah😍 HasbunAllahu 😘
2025-10-19 17:39:30
2
akehilwa
hilwa :
I don't like to comment anything on tiktok but Mashallah my dear u look gorgeous 🤩
2025-10-19 09:48:38
2
reyaby0
user6881418753811 :
eish ongeza volume wasiopenda waumie...🤣
2025-10-18 17:56:56
0
mamydope1
💙ƊøpèQëën̈💙 :
make up kiboko🥰🥰🥰
2025-10-18 17:38:04
1
fafe425
user509936 :
masha Allah 😍
2025-10-18 19:12:06
3
salma_3520
Salmah💗✨ :
Hko kibatiki bei yake?
2025-10-20 07:32:41
1
user3938397470636
tamimuuu :
tuokee.namba yako ya aimu mana nimeelewa batiki hilo
2025-10-20 08:40:59
0
user8885123301988
salhag :
wow
2025-10-20 07:37:02
1
najmabby45
mammy naj❤️💖🥰 :
Nataka uyo fundi aki wa dera🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😫
2025-10-20 06:26:16
0
khairun_55
Khairoon❤️🥀 :
huyu make up artist n kiboko yaan mashallah anakujulia
2025-10-18 19:25:29
5
maryumaa4
maryumaa4 :
Umpendeza MashaAllah 🥰 jicho la hasad lisikupate kipenzi
2025-10-18 17:32:11
7
husnayahya436
husnayahya436 :
Nataka kuona nguo yako umeshonaje mama plz
2025-10-20 06:27:10
1
blushing.queen7
dreamy queen❤️💖 :
kilembe umefunga mwenyewe ama umefungwa wapi sis
2025-10-18 18:15:30
2
To see more videos from user @zenny_zey, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About