@muddylee1: Chuma ya mtu wa masaa bana Masaa ni yale yale hata apewe Massey Ferguson Chombo iende

muddylee1
muddylee1
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 October 2025 12:02:39 GMT
18905
1197
69
59

Music

Download

Comments

jaydenbanga07
Jayden banga™ :
loose cargo night lazama utembeeee Sasa nyata ukute mzigo upo nusu 😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-10-19 17:55:27
14
onesmojohhnymakori
onesmojohnny Makori :
huyo jamaaa Ukimpa Basi... dar Mwanza masaaa 10🤣🤣🤣.
2025-10-19 18:42:40
3
miguel255tz
Miguel69 :
ukisha ova take tu hatembei hivyo tena, niamini mm
2025-10-20 05:21:18
2
user1856806005521
fikiri :
440 uyo mnyama
2025-10-20 04:18:26
2
bakariramadhani308
Bakari Ramadhani :
kwel kwel machafu daima🤣
2025-10-19 12:12:25
0
mswat.king
Mswat King :
mh huyo dere noma sana
2025-10-21 15:38:41
1
godleader7
ELLY 👼. :
Babaa 🔥💯🙌
2025-10-19 19:54:07
0
mr.anwari7
Mr.Anwari🦋❤️ :
mwamba gusa kidogo tu break mbele
2025-10-20 05:03:45
0
michaellibotta
Libotta'Botanisty 🇿🇦 :
mzigo umebeba chumvi anakata upepo mbaya ...
2025-10-24 08:25:46
0
benedict.gaspar7
Benedict Gaspar :
somanga kuitafuta ikwiriri iyo kipande kinaviraka kuzidi lami 😂😂😂
2025-11-03 05:42:00
1
man.g5197
Man G :
hpo anaogpa hizo taa anajua anaibiwa
2025-10-19 20:57:45
1
frenkboe45
franki :
440 uyo mnyam umkuti🔥🔥🔥💪
2025-10-23 20:10:36
0
iamommy0
Ommers_05 :
Babu dere kala ndimu usifate utaacha ndala
2025-10-19 20:12:28
0
japharpeter
japharpeter :
umeme unaguswa
2025-10-22 21:48:23
0
business_accountancy
ERICK jS :
huyo kabeba copper ndio mana
2025-10-20 09:10:20
0
mangwelele06
mangwelele :
hapo hujawakuta wakuweka tumiba apo nyumba
2025-10-21 17:01:52
0
hassan.msende
Hassan Khan Tz 🇹🇿 :
scania daima
2025-10-22 20:36:53
0
kwayson07
Kwayson :
kama una pumzi pita
2025-10-19 20:43:40
1
dagang_96
Time travel 96 :
kamera man fala kazi yako kuzoom plate no na simu yako kamera haina ushirikiano😆 umeikosa😅😅😅
2025-10-19 17:09:17
1
fd_swala
Dereva kijana 🇹🇿🇿🇲 :
mswiden mashine hiyo wachaa🔥🔥
2025-10-19 20:35:19
0
msumimtupeace
msumimtupeace :
chuma ishakula chumvi apo inawai kwa mteja 🤣🤣🤣
2025-10-22 18:30:45
0
rickshaby_vlogs
RICKSHABY FX 👑 :
ni li R450 au😂😂😂
2025-10-19 19:26:30
0
fazzalapulga
fazzalapulga :
😂😂😂muddy umeshindwa mpanda huyo mdwansiiii ase
2025-10-19 16:24:38
0
nduva_10
Nduva_10 :
Huyo jamaa anajua kumwaga moto dadeq🙌🙌
2025-10-20 08:00:14
0
mtotosonic96
mtoto son :
yan mbio zote izo mna mlindia mzigo
2025-10-20 20:05:00
0
To see more videos from user @muddylee1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About