@surrealgenie: Mnaniache kula in peace 😂😂😂 #kibandastories #kenyantiktok🇰🇪 #tiktokkenya🇰🇪 #sheng #mzungumwituu

surrealgenie
surrealgenie
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 20 October 2025 11:31:52 GMT
40322
4183
442
103

Music

Download

Comments

ole_metis
Ole_Metis :
Wewe ni CIA, MI6, ama Mozzad.
2025-10-20 14:45:06
51
waaavy1
Blue wave :
"Nyaje guuys...nyaaajee"😭😭
2025-10-20 11:39:46
122
user1358172104468
Bot :
kibandaski
2025-10-22 06:31:13
1
k.i.p.l.a.h
Gray :
you're in this country ...like all by yourself?
2025-10-25 09:31:35
0
moseszapqqq
moses🦦 :
Mlami anakula aje kwa kibanda 🤔😂
2025-10-20 11:37:19
30
jeaniuz
𝕵𝖊𝖆𝖓𝖎𝖚𝖘 :
Njoo mombasa wabara ni washamba sana 😂😂
2025-10-20 13:08:02
1
trevorl71
Hussein :
kuja nikuwashie kindukulu🔥
2025-10-21 18:12:17
1
loughlife2
loughlife2 :
sio nyajee guys...it's niajee guys ...keep up you really try so hard hata unashinda watu wa bara kwa kiswahili
2025-10-21 05:08:03
2
__solit
Sora. :
umelipa ngapi?
2025-10-20 14:14:52
0
ronskii01
ronskii :
Nani ameonesha mlami base za keroma bana 🤣🤣
2025-10-22 07:29:04
6
user78806828842151
franco wantam :
we ni siEYEye🗣
2025-10-20 15:11:31
10
0mondi38
Douda :
umejaribu zile kibandaski ziko kando ya sewages.zo huslap
2025-10-20 12:31:13
18
epic_hyperstar
Epic Hyperstar :
yaani mzungu anakula kwa kibanda. nilidhani wazungu wanaenda 5 star ✨ hotel. 😂😂😂
2025-10-20 14:27:23
2
ndovukunya
clintonmutua7 :
iyo sio kibanda wewe mzungu..that's our 5 star hotel..kibanda ungekua umefunga mapua sai
2025-10-20 13:21:09
9
veteran_lyrical
Lyrics_ Africa 🌍 :
"Nyaaje guys"😭😭😭
2025-10-20 12:05:40
4
emmanuelbryant24
Emmanuel Bryant :
Huyu mzungu ameamuwa kujiundia sehemu yake huku Nairobi "Nyarii guys"😂😂😂
2025-10-20 13:10:45
0
josemondi2013gmail.com88
Josephe-Yahuah Yahuah :
Hata ukiwa CIA agent hakuna shida
2025-10-20 16:15:27
1
samuelkasera4
Kasera. suji🇰🇪 :
inaitwa kibandaski mamushka,mambo
2025-10-20 13:34:54
1
5chance
M.K.A.LE.E :
hiyo kiswahili yako inatumia network ya 2G😂😂
2025-10-21 21:25:50
5
kamaa_888
kamaa :
jifunze swa ya mtaa😂😂😂 hii ni ya shule ama kule tanzania😂 kam inbox nitakufunza mamaa
2025-10-20 15:07:18
1
jiraniaki
JIRANI :
Babe weh kula usi mind watu wenye wana kuangalia, wameboeka tu 😂😂😂 ata mimi huangaliwa kwa kibandaski 🤣
2025-10-21 04:49:38
0
lee.nganga
Lee NGASH :
hiyo ni kawaida. wanatazama mgeni. 🙂
2025-10-20 15:44:19
1
gingerale5518
GINGERALE :
wanashangaa banana mzungu kwa kibanda anakula simple na mboga.mi ni fan wako kutoka Mombasa @surrealgenie
2025-10-20 13:46:33
4
ha_real254
Harry 254👊 :
CIA uku kwetu n DCI😅
2025-10-20 13:10:57
13
user43612980275690
It's Acapulco TikTok 🧢 :
wewe ni empress tuh 🤣🤣
2025-10-21 21:33:15
2
To see more videos from user @surrealgenie, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About