@oliviasgiftshop: Package nzurii kwa mkaka msafiiii👌🔥🔥🔥Anayejipenda 📲0783384119 📞0767305597 TSH170,000/= 📍SINZA MORI #giftsforhim #gifts #zawadi #tanzaniantiktok🇹🇿 #giftshop

Oliviasgiftshop
Oliviasgiftshop
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 October 2025 11:36:05 GMT
103564
2620
237
600

Music

Download

Comments

millydaisy64
.... 🦋daisy...🍫🦋 :
imagine nilimuagizia mtu gift package ya 250k kwaajili ya birthday yake sku naletewa hyo package.....akaniacha usku siku hyohyo nilishndwaa nn nifanye nachoka mm🥹😂😂😂💔
2025-10-20 19:17:16
5
lammustafamusah
iammustafamusah :
Period package.
2025-10-21 07:47:44
1
annastazia22400
[email protected] :
ni bei gani
2025-10-21 14:04:59
1
babra.berry
Babra Berry :
Mtu hajawai niletea hapa period package me ndo niangaike na hizi eboh labda niwe wazimu😂😂😂
2025-10-20 15:34:41
40
suillan_
Faah_🌹🦋🫶 :
birthday ya rafiki yangu wa kiume embu nishauri nimpe zawadi gani kutoka kwenu, ila isizidi laki moja me wa hali duni 😂😂😂
2025-10-20 16:49:41
2
lightness.mosses
Lightness Mosses :
hiyo bei gani
2025-10-20 14:20:38
1
linos2729
Lino’s 251🌎 :
Wanaume kama tulivyo , kubaliana msisahau…
2025-10-21 07:53:54
1
pjoutf8
PJ outfit🛍️🛍️ :
Ni bei gani hyo package
2025-10-21 13:24:12
1
ms_____memi
️ :
Nikirudia tena kufanya hivi sijui niwe dunia gan 😩
2025-10-20 17:09:20
8
madameg32
Madame G :
bei
2025-10-21 11:20:53
1
pinelaitayok
Tinah❤️🥀 :
Mtt wa mama mkwe anastahili🔥
2025-10-21 12:15:17
1
chid.boe6
chid boe :
apo kwa Liverpool you got me 😋💯✊
2025-10-21 05:59:03
1
tunu_kidsstore
tunu_kidsstore :
Atapaka topline ile ya ngombe ya buku 😹😹😹😹
2025-10-20 14:57:40
6
chimdolly
chimdolly💞 raji :
Makomborero😆😆
2025-10-20 11:54:43
2
eddo_boy5
edboy :
apo kwenye jezi tu ndo umetisha
2025-10-20 16:07:14
5
liliandamas11
lily🥰 :
tukiachana ujue unalipa staki ujinga😂
2025-10-20 17:37:55
3
jaymelodyslove
happyJaneth :
how much?
2025-10-20 16:24:25
3
biashara_na_.miriam
Biashara_na_.miriam :
nikija rudia kumpa mwanaume zawadi labda nikiwa sayari nyingne sio hii dunia 😂🤣 mwanaume 🙌🙌
2025-10-21 12:44:52
3
suziesimpleandstrong
CLEAN HEART ♥️💗 :
wangu apo ningtoa lotion muweke body oil🤣
2025-10-20 16:34:03
4
jacklineisowe
Jacklineisowe :
Wacha nikale chips au nisaidie home 😁😂
2025-10-20 16:57:30
3
mwanaumezone
MwanaumeZone :
Ukipendwa utajua tuu🥰🥰🥰🥰
2025-10-20 11:43:58
7
double.g379
BLESSED💕Gee💫 :
chimbo la zawadi nshapata bado uyo muhalifu sasa wakumpa😂😂😂😂😂
2025-10-20 18:36:05
5
niwas_closset
Niwas_closset :
🔥🔥🔥We already know
2025-10-20 11:40:27
2
elifadhilikisuda4
Elifadhili Kisuda449 :
Yani hapo unatumia zote hzo ukitoka hapo unanukia kama kiwanda cha chai 😂😂😂😂🙌🙌
2025-10-20 16:07:51
1
marvel45305
Nice 🥰 :
upo wapi
2025-10-21 13:09:35
1
To see more videos from user @oliviasgiftshop, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About