@callmewangui_: madem vienyeji hukaa aje

Yvonne🎀
Yvonne🎀
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 21 October 2025 08:34:17 GMT
160970
10894
847
596

Music

Download

Comments

mss.naliaka
🦋mïss naliaka 🦋❤️ :
suspect amevaa evidence ya madem wajui kuvaa vizuri
2025-10-21 15:58:32
82
sarahchege37
SARAH🥵🥰🥰 :
najua haiwahusu lakini huyo n mm😂😂😂😂😂
2025-10-21 09:33:47
424
user6531514881380
talima :
pia wewe n kienyeji promax original
2025-10-22 08:43:48
0
.mutheu55
💫 mutheu ❤️💫 :
kama umesikia madam vienyeji gonga like🤣🤣🤣🤣
2025-10-21 19:18:52
18
itztadiah
ITZ 🌟 TADIAH ⭐ :
Dem kienyeji na uko na cargo pant Iko na kamba.. haikosi wewe ni mkaleee🫴🫴
2025-10-21 08:45:35
312
tracy54971
🦋❤️‍🩹Tracy🦋🫂 :
wee ndo kiyenyeji butterfly Kwa kichwa😂😂😂
2025-10-21 09:03:32
43
luckysheey0
luckyshii🌺🦋 :
yaani adi kukaa kwa mzazi nmekua kienyeji😂😂
2025-10-21 13:41:07
36
256naini7
Harriet Naini 🌹🦋♥️ :
sasa nisikae kwetu na amani
2025-10-22 04:19:31
0
queenclara320
🖇💉PAINKILLER💊🩺️📍 :
Uzuri hata ww ni kienyeji juu haujavaa vizuri 😂😂😂
2025-10-21 17:00:11
6
brian.walker912
Brian Walker :
Eti boy Hana gari 😂😂😳babako ako nayo 😂😂🫴 Angalieni huyu fala 😏🤣
2025-10-21 19:54:31
8
dainol.latnumz
dainol latnumz :
dem mwenye eshima n mwenye anakaa kwa wa zazi wake lakin Hawa wengine n single mothers na mama marehem Malaya ww
2025-10-21 19:21:44
0
faithfaytowettt
faith :
😂😂kumbe mimi ni kienyeji nko kwetu bado
2025-10-21 08:38:27
189
user7138180095833
❤️ SezzyMellany :
Anaongea kama Mkikuyu original
2025-10-21 21:17:49
1
goldalinekimario
ashline shantel :
madem vienyejii ni wenyee wanavaa butterfly 🦋 🤣🤣🤣🤣
2025-10-22 06:27:19
2
candy.beiby8
candy beiby 🥰 :
na ajihesabu hapo ona shati amevaa sasa
2025-10-21 20:02:02
0
cheps073
Abby🇭🇲🩷 :
Madam butterflies Kwa kichwa kwanza kata kamba Kwa trouser alaf Rudi tuaddress😂
2025-10-21 13:58:16
0
lezzie09
♥️Hazzy lezzie🥰🇰🇪🇰🇪 :
Msijifanye hamjaskia madam vienyeji🤣🤣🤣🤣
2025-10-21 13:25:38
24
just.call.me.mivi
just.call.me.miviah :
Huyo n cousin yangu,,akiwa njaa hukuwa hivo😅😅😅
2025-10-21 08:41:25
57
rachelraqeel999
khadija Ahmed 💖😊 :
aty boy hana gari we wako ako nayo 💔😂😂
2025-10-21 09:27:52
3
doreenmummy613
QueenDoreen🌹🌹 :
kumbe wewe ni matako tu😂😂😂
2025-10-21 15:59:49
0
sarahmukami24
SARAH Mukami :
wee kienyeji wee
2025-10-22 08:23:41
0
user65699194521465
Maggie :
so bado me ni kienyeji juu natumia fare yangu 😁😁
2025-10-21 14:49:31
0
68..syl
🎀🎀𝒔𝒚𝒍𝒊𝒏𝒛𝒊𝒐𝒏🦋🦋 :
toa hyo jersey kwanza😂
2025-10-21 08:53:19
12
maxiemillern.merc
maxiemillern mercy :
sasa wewe umevaa vizuri🤣🤣🤣 na Kenyan uniform nkt
2025-10-21 10:38:05
1
user9475735723804
Tonioh tonny :
kwenda uko kwani wewe uko na gari🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-21 17:51:34
5
To see more videos from user @callmewangui_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About