@itsnyathii: Can you tell how speechless he got 🤣🤣🥰 Do you think he saw this coming ?? Love this for my husband our future is bright na tunaenda mbali for the glory of God e😭🥹🥰 @nebz || Forex happy 26th birthday baby God bless you thank you for making it too easy to be your wife your efforts never go unnoticed i appreciate you my husband to 74 more years of wishing you a happy birthday love you lots 🫶😭🥰🥰#forexlifestyle #thedons #richforever #thankyouGod #nebzandnyathira
Nyathira || Forex
Region: KE
Tuesday 21 October 2025 11:51:38 GMT
Music
Download
Comments
RHODA🤍🧷🎀 :
mmemaliza nifunguwe macho😢
2025-10-21 15:36:34
421
@chebby :
hapa hufai kua na marafiki wezi😭😭unaeza pata money bouquet imechunwa😭
2025-10-21 13:24:47
1622
alsozeee :
Chali yangu asione hii😭 birthday yake ni Friday 🤧
2025-10-21 13:31:58
188
♡Ndulu✿ :
“Nishazoeanga hizi..piga pichaaa”😭😭😭
2025-10-21 12:14:31
1079
🦓Juliet😻 :
ale this leal dollarrrs😭😭
2025-10-21 18:28:11
324
♥️Hopie♥️ :
sumu ni how much🥹🥹🥹
2025-10-21 14:22:12
153
INEZ💎 :
he's not even surprised weeeh 😂😫
2025-10-21 12:50:32
927
@Nickninah kenya 🇰🇪 :
Si ubaya lakini uyu mzee anaturn 26😏
2025-10-21 14:28:30
50
Anita :
Ni kama nilikuja hii dunia kushangaa💀
2025-10-21 11:56:25
557
betynje :
who is here from mama Nyathira's video,,, wauh😳😳😳
2025-10-21 15:37:27
189
🐅 :
mtu ameuliza "sumu ni how much"
😂😭😩...mseme haraka
2025-10-22 04:18:25
17
Breezeway 82 :
Mtu wangu anadhani hii ni AI
2025-10-21 14:41:29
70
Karis Jay :
elfu moja nashukuru😁
2025-10-21 12:04:35
1
𝐬𝐡𝐞𝐩𝐡💕 :
Invest in your womaaaaan👌👌
2025-10-21 15:04:35
78
Real gal😘nash :
I can provide for him too but shida n hapo ,did he do the same to me 😂😂
2025-10-21 16:14:26
2
✨️Madelline🇰🇪 :
kumbe 2.6 million si mingi naeza shika kwa mkono😳 mniombee guys next week kukienda vizuri mtaniona nazo
2025-10-21 20:01:41
171
Annpattie3 :
wanyama poli wezangu mpo turudi msituni sasa😂😂😂😂😂😂
2025-10-22 15:08:58
0
its -Nickie💓💍 :
nifunze forex please
2025-10-21 12:33:56
8
Trizah Babyline💍🦋📌❤️😂 :
May this kind of a relationship locate me in Jesus name😭😭😭🙏
2025-10-22 02:03:12
9
@kambaqueens1723 :
we need baby 🍼
2025-10-22 08:24:03
1
Gracey Richy 😊 :
mtu anitumie ata 500 to 🥺
2025-10-21 12:00:59
46
Wollace J :
naskia sauti ya njoki hapo nyuma....former classmate😂🥰
2025-10-21 15:42:06
3
Queen B :
huku n wapi nomekujia depression
2025-10-22 11:17:25
10
Sophie Steve :
nitumie 10bob ninunue simu,,,,juu what am I?
2025-10-21 15:00:02
4
msoo :
yani Siz nili kuomba luch uka ni lenga
2025-10-21 17:07:36
4
To see more videos from user @itsnyathii, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.